Now friend if you haven't tasted now to the health center #RafikiKapimeHIV you are not late because health is everything.
#RafikiKapimeHIV@agpahi
@tanzaniainterfaithpartnership
@princendibalema
@ummymwalimu
Tuungane na vijana hawa tihimize jamii kuhusiana na upimaji wa HIV pia tushirikiane katika kuzuia UKATILI kwa watoto maana hao ndio nguzo ya taifa la kesho.
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwamtoto
@tanzaniainterfaithpartnership
@wizara_afyatz
@glorriearra
@princendibalema
Tuungane na vijana hawa tihimize jamii kuhusiana na upimaji wa HIV pia tushirikiane katika kuzuia UKATILI kwa watoto maana hao ndio nguzo ya taifa la kesho.
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwamtoto
@tanzaniainterfaithpartnership
@wizara_afyatz
@glorriearra
@princendibalema
Kufanya ngono na mtoto ni kumbaka pia nidhambi kubwa mbele za MUNGU vitabu vya dini vinatufundisha hivyo. Tumlinde mtoto dhidi ya vitendo hivi vya kikatili huku tukishilikiana kutoa elimu kwa jamii kuu ya maswala mabaya Kama haya.
#zuiaukatilikwamtoto@TIPOfficial__
Tukishirikiana kwa pamoja kupaza sauti katika harakati zaubadilishwaji wa sheria kandamizi kwa watoto ,Tutaweza kuwasaidia watoto wetu kufikia malengo na kuzuia UKATILI WA kingono kwa watoto.
#zuiaukatilikwawatoto#upendokwanza
@tanzaniainterfaithpartnership
@wizara_afyatz
Mtoto akifanyiwa UKATILI mbali na kimwili huathiri pia akili yake ,anaweza akawa mtu wa kujilipiza kisasi maisha yake yake yote nakushindwa kutimiza ndoto zake, tuwalinde tuwapende.
#zuiaukatilikwawatoto#zuiaukatili
@tanzaniainterfaithpartnership
@princendibalema
We celebrate father's today.
Dear father's may you keep protecting and loving the society
#zuiaukatilikwawatoto
@tanzaniainterfaithpartnership
@agpahi@ummymwalimu
@princendibalema
UKATILI DHIDI WATOTO WADOGO HAUKUBALIKI WATOTO WANA HAKI ZAO BINAFSI NA ZA MSINGI TUSIWATENGE WALA KUWAFAYIA VITENDO VISIVYO FAA.
#zuiaukatilikwawatoto
@tanzaniainterfaithpartnership
@ummymwalimu@agpahi
Maisha ni kuchagua, na kuishi kwa kufuata ushauri wa daktari na kutumia dawa za ARV vizuri kutasaidia kupunguza kiwango cha VVU na kuimarisha kinga ya mwili wako, muda ndio huu ujachelewa.
#RafikiKapimeHiv@TIPOfficial__
@agpah
@hiv_positive_dating
@wizara_afyat
Hakika ni #ZamuYetuWanaume tukapime. Kundi la wanaume bado tupo nyuma kwenye kutambua hali ya afya zetu, ni wakati sasa kutembelea kituo cha Afya au kituo chochote ambacho huduma ya upimaji wa Virusi vya UKIMWI inatolewa.
Basi #RafikiKapimeHIV kuna faida nyingi kuliko hasara.
Wanaume tukapime VVU ili tuweze kizilinda familia ZETU na wale TUWAPENDAO.
@tanzaniainterfaithpartnership
#tukapime#rafikikapimeHIV
@princendibalema
@ummymwalimu