Africa doesn’t need to follow the Asian development model focused on exporting manufactured goods to richer countries – it could become significantly better off simply by producing more of what it consumes at home https://t.co/iMZLkKTsJV
Serikali ya Zimbabwe imekosolewa kwa kitendo chake cha kutumia fedha nyingi kununua nywele bandia (wigs) kutoka nchini Uingereza kwa ajili ya kutumiwa na Majaji, inadaiwa Serikali hiyo iliagiza wigs 64 zenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 358 kwa pamoja.#MillardAyoUPDATES(CNN)