Kuwa makini na watu katika haya maisha, wapo watu watakusaidia kwa moyo mmoja pia wapo watu watakao kusaidia ili waje wakudhalilishe na kukupa sifa mbaya kwa wengine.....
Chagua kuishi na yule ambaye mapungufu yake unayamudu na kwako ni rahisi kuyabeba.
Usiangalie Uzuri na ubora wake ukautegemea kufidia kwenye kero zake.
Utachoka, wema wake utafutika kwa kero zake zinazokushinda.
Otherwise kusingekuwa na sababu ya kupitia uchumba. 📌
Unifanye kusikia fadhili zako asubui, kwa maana nimekutumaini wewe. Unijulishe njia nitakayoiendea, kwa maana nakuinulia nafsi yangu.✍ zaburi 148:8
Gm fam ❤🙏
Hello,ni September 11, baadhi ya watu wanasubiri Ndoa, wengine wanasubiri Watoto na kuna wanaosubiri Riziki pia wapo wengine wanaosubiri Wapone Maradhi yao,, Ee Mungu 🤲mfanyie wepesi kila mwenye uhitaji haja yake ikatimie.🙏💙
Top 50 Movies for Matured Audience🔞🔞🔞
1. Love, Simon (2018)
2. After (2019)
3. Long Shot (2019)
4. The Last Summer (2019)
5. Someone Great (2019)
6. What Men Want (2019)
7. Isn't It Romantic (2019)
8. The Sun Is Also a Star (2019)
9. Five Feet Apart (2019)
10. Plus One (2019)
11. The Perfect Date (2019)
12. The Kissing Booth (2018)
13. To All the Boys I've Loved Before (2018)
14. Set It Up (2018)
15. Sierra Burgess Is a Loser (2018)
16. The Half of It (2020)
17. Love, Guaranteed (2020)
18. Chemical Hearts (2020)
19. The Lovebirds (2020)
20. After We Collided (2020)
21. Palm Springs (2020)
22. The Broken Hearts Gallery (2020)
23. The Kissing Booth 2 (2020)
24. The Lovebirds (2020)
25. Work It (2020)
26. After We Fell (2021)
27. To All the Boys: Always and Forever (2021)
28. Malcolm & Marie (2021)
29. The Map of Tiny Perfect Things (2021)
30. The One (2021)
31. The Kissing Booth 3 (2021)
32. Resort to Love (2021)
33. The Last Letter from Your Lover (2021)
34. Single All the Way (2021)
35. The Princess Switch 3: Romancing the Star (2021)
36. The Royal Treatment (2022)
37. Through My Window (2022)
38. Tall Girl 2 (2022)
39. Love in the Villa (2022)
40. The Perfect Pairing (2022)
41. Purple Hearts (2022)
42. A Perfect Pairing (2022)
43. Falling for Christmas (2022)
44. Love Hard (2022)
45. Something from Tiffany's (2022)
46. After Ever Happy (2022)
47. The Lost City (2022)
48. The Royal Treatment (2022)
49. The Princess Switch 3: Romancing the Star (2021)
50. The Last Letter from Your Lover (2021)
Every time I’ve gone through a difficult time I always tell myself it’s just today, I just have to go through today. It has honestly helped me focus on the moment and not feel overwhelmed.
Happy birthday to the love of my life, @MichelleObama. You fill every room with warmth, wisdom, humor, and grace – and you look good doing it. I’m so lucky to be able to take on life's adventures with you. Love you!
Dear Gentlemen, Vaa vizuri, weka perfume kwa mbali sio dhambi, piga code nzuri, nyoa vizuri, tumia lugha vizuri, kula kwa utaratibu na fanya mazoezi, Pesa ni kidogo lakini appear vizuri, kuna wanawake wakikuona mwanaume smart wanadata kabisa. ❤️
Ladies; Kama ambavyo unaweza kurithi ukubwa wa macho kwa Mama, kurithi shape ya Bibi yako au Ukubwa wa Matiti kwa Auntie.
Au ukarithi Kidoti cha Mama Mkubwa wako.
Ndivyo Pia Size na Muonekano wa Umbile lako (Uke) 🍑 Umerithi aidha Kwa Mama, Bibi, au Shangazi. 😊
The same applied kwa Wanaume unaweza kurithi Size, Urefu au Shape ya Uume kwa Baba, Baba mkubwa, Babu nk.
Sometimes Mwanaume usijipime uanaume wako kwa kufuatana na takwa la Mwanamke kitandani.
Bali tumia uwezo wako kufanya unavyoweza Kisha komea hapo, nje na hapo utaharibika.
Je, Una upungufu wa Nguvu za kiume kweli au una mashaka tu na performance yako?
Gentleman,
Huyo Mwanamke unayekazania kumpa Pesa una uhakika ana feel love kwa Pesa?
Huyo unayefocus kumpa zawadi Daily, una hakika anakupendea zawadi?
Unamtumia maneno matamu romantic kila Asubuhi, are you sure ndio Love kwake?
Usiseme tu hajali jitihada zako, Jiulize hayo!