Appreciate The Chanzo for the opportunity to talk about something I'm deeply passionate about.
Personal finance isn't just about budgeting.
It's about visibility.
Because you can't improve what you can't see.
That simple idea is what inspired us to build PesaPlan.
🙏🏾🙏🏾
‘Tunaifanya hela yako ikutumikie wewe, na siyo wewe kuitumikia’
Anazungumza Fredrick Mbuya ambaye ni mwanzilishi wa programu ya PesaPlan inayolenga kumsaidia mtu kusimamia fedha zake kwa ukamilifu. PesaPlan inapatikana kwenye App Store, kwenye Play Store, na pia kama ‘webapp,’ au ukienda kwenye https://t.co/pPLzShoWSJ.
Miezi 6 iliyopita PesaPlan ilikuwa spreadsheet ya binafsi.
Leo, zaidi ya Watanzania 15,000 wanaitumia kupanga bajeti, kufuatilia matumizi, kujenga akiba na kuwekeza.
Lakini tunachosherehekea si idadi ya watumiaji. Bali maelfu ya maamuzi bora ya kifedha yanayofanyika kila siku.
Eid Mubarak 🌙✨
PesaPlan wishes you and your loved ones peace, blessings, good health, and prosperity during this special season of Eid al-Adha.
May this celebration bring reflection, gratitude, togetherness, and renewed hope for the journey ahead 🤍
Eid Mubarak Pesaplanners
Leo ni siku ya kutambua kazi.
Kila mmoja ana kazi yake. Kuna wanaojenga. Wanaofundisha. Wanaohudumia. Na wanaojituma kila siku bila kuonekana sana.
Kazi zinatofautiana. Lakini juhudi ni moja.
Tunathamini mchango wako.
Heri ya Mei Mosi.