Kama umeamka na unaenda kutafuta riziki; kuwa makini sana;
Kuwa makini uki-drive
Kuwa makini ukipanda bajaj/boda
Kuwa makini ukivuka barabara
Kuwa makini na unachokula
Kuwa makini usigombane na mtu
Wanaokutegemea wana imani kubwa sn na wewe; wanakusubiri home urudi mzima
GM๐
@CrownMediaTZ@Salym Anajua kupika kwanza???? Au unaweka ladha ya viungo ndiyo usawa?
1. Kuni
2. Mka
3. Jiko la mchina
4. Gas
5. Rice cooker
6. Jiko la umeme
Haviwezi kutoa ladha moja ya chakula, labda ujaze maviungo