Mwalimu|ComputerEngineer|Policy Analyst| MhubiriHabatiNjema|
Live for you and yours happiness now and tomorrow though you know it not, but God is there already
Uniwie radhi kama post zako ni zile ulizofukia akili na utu, kwa kuendeleza ushabiki na ubinafsi pole maana ukini-follow ntakublock. Ni la hakika hili.
Kuporwa kwa uwanja wa michezo wa Sahara uliopo kata ya Mabibo, Ubungo—ambalo ni eneo la wazi la umma—ni uthibitisho tosha la jinsi wananchi wanavyokosa watetezi wa haki zao pale CHADEMA wanapokuwa nje ya vyombo vya maamuzi. Wananchi wa eneo hili sasa wapo hatarini kupoteza kabisa ardhi hii ya wazi ambayo wameitumia kwa miaka mingi kwa ajili ya michezo na shughuli za kijamii.
Samia Suluhu hana sababu ya kuendelea kumshikilia Tundu Lissu kwa mashitaka ya uongo. Kumnyima mtu uhuru wake na kumtesa gerezani bila hatia ni sawa na kukusudia kumuuwa. Ukatili huu ni lazima ufikie mwisho.
Free Tundu Lissu Now!!
@TheChanzo How can a person be so stupid as this and be called a religious leader? How can one calling himself a religious leader be so corrupt as this, and people still be following him? MUNGU WA MBINGUNI TUSAIDIE
After Drogba and Rio Ferdinand, #Tanzania's President Samia Deploys Controversial "Pan-Africanist" Blogger #DavidHundeyin to Whitewash the October 29 Massacre
https://t.co/IWp6kdtZoi
.@rioferdy5 stupidly thinks that what matters is why he visited tanzania, and not why the gov invited him in the first place. he may care about football, but the gov cares about its image internationally, and give zero fuck about football. that he didn’t see that speaks volumes!
Baada ya DROGBA na RIO FERDNAND, Samia na Bashite Wamkodi Bloga wa Kinaijeria DAVID HUNDEYIN Kutengeneza Filamu ya KUWATUSI Waliouawa Oktoba 29 https://t.co/FJcyWogd95
hii yenyewe ni aina ya ukatili unaofanywa na dola dhidi ya w’nchi. hii ni dar, inayozalisha utajiri mkubwa kila sekunde. unakwenda wapi, kama mitaa inaonekana kama hivi? well, inakwenda kwa wahuni na majambazi wachache, waliopora madaraka, na kila siku kuimba amani na uzalnedo:
“Kaka #Jasusi hivi Mchungaji Kimaro kaanza lini kuwa chawa wa Samia?” Asked one curious cat
“You can’t win a war if you neither know nor understand your enemy.”
Changamoto kubwa katika mapambano dhidi ya ubaradhuli unaoendelea ni kwamba Watanganyika wengi hawawajui maadui zao
3. Wakati Magufuli anajifanya kupambana kuhusu makinikia Kabudi ndio alikuwa architect of fake narrative
4. COVID-19 Kabudi ndio alikuja na dawa fake ya Madagascar
5. Kesi ya mauaji ya kimbari ya Samia Kabudi anapiga porojo kuzima
Huyo mzee Mwongo, mnafki na mzandiki mkubwa
Kwa mujibu wa Jaji Kiande, Master Tindwa alipigwa risasi akauwawa akiwa nyumbani kwake sababu alilipwa na akapewa mafunzo ya kuandamana.
Keep resting in peace, Master!
What a sad day for us!!
Yani njaa zitawatokea puani! Yani waandishi uchwara mmejikusanya kujifanya manahamu na kipeperushi cha Chande!
Tanzania ya sasa sio ya zamani ya kuendeshwa kwa propaganda! Fanyeni kazi ya uandishi acheni ushenzi!
nawaonea huruma sana wale waliojitokeza kutoa maoni yao kwa hii tume ya mchongo hasa wale waliodhurika kweli na wakaenda kutoa ushahidi. she is going to kill all tume imesema yenyewe haikuwa na la kutatua..
ilikuwa inatafuta hoja .. mwisho mwenye ripoti yake amesema, done
kitu kinachonishangaza siku zote ni serikali kuokoteza watu -- waandishi, viongozi wa dini, etc -- kutakatisha vitendo na michakato yake haramu kama vile hawa watu wana ushawishi wowote kwenye jamii, au maoni yao yana umuhimu sana. they don't, and nobody cares. poteza pesa tu!
#Jasusi alipokuwa JKT, kuna kitu kilikuwa kinaitwa REDIO MBAO au REDIO MUSTINI. Probably the earliest form of UBUYU. Wakati mwingine zilisema ukweli, lakini mara nyingi tu zilikuwa ni uzushi.
Looks like huyo kiazi amesikiliza redio mbao/redio mustini zimemlisha matango pori kuwa huku tumepewa hayo maagizo anayodai. Au pengine kazusha tu 🙄
https://t.co/HBSZGhc5Z1