@nyuki_malkia Jina malkia ukilitumia vizuri unatoboa chap.
Fikiria una mgahawa wa chakula unaupa jina Malkia food.
Halafu misosi ya maana full mausafi eneo la biashara.
Au una pub unaipa jina malkia pub.
Hata ukaamua kuchoma chipsi na mishkaki tu,jina malkia chomachoma.
Fanya hivyo๐ซต๐ป๐