Wananchi Kukipiga Dhidi ya https://t.co/JiFbInHlBP Fc Uwanja wa Uhuru π
Saa12 Jioni.
Wanatest Mitambo, Kesho wachezaji walioitwa kwenye kikosi cha Timu ya TaifaπΉπΏ wataanza Kuripoti Kambini.
#phabie#kigoma
MAKAZI NA OFISI ZA WAKANDARASI WATAKAOJENGA UWANJA WA YANGA....
Hapo Juu patahusika na maswala yote ya Ujenzi wa uwanja kwa Kipindi chote, Ukitaka kazi zikitangazwa utapanda hapo juu kuhudumiwa β οΈ
#phabie#kigoma
π£οΈBabu kaniambia yafuatayo kuhusu Usajili ππ
Yanga na Simba (Ubunifu Wao wa kutambulishawachezaji wamekuja na Ubunifu mkubwa sana)
Timu zote mbili Zimejipanga SANAna Bajet kubwa imetumika Simba WAMEMALIZA Yanga nao Watakuja na Idea Yao (Soon)
NB; Msimu huu AIBU UTAONA WW
π£οΈBabu kaniambia yafuatayo kuhusu Usajili ππ
Yanga na Simba (Ubunifu Wao wa kutambulishawachezani wamekuja na Ubunifu mkubwa sana)
Timu zote mbili Zimejipanga SANAna Bajet kubwa imetumika Simba WAMEMALIZA Yanga nao Watakuja na Idea Yao (Soon)
NB; Msimu huu AIBU UTAONA WW
Inasemekana π Dar es salaam Derby , Kuchezwa Zanzibar (New Amaan Zanzibar ποΈ) baada ya Jitihada Kufanyika Mchezo huo Kuchezwa Mwanza kushindikana ...
Inasemekana ππ
Dar es salaam Derby , Kuchezwa Zanzibar (New Amaan Zanzibar ποΈ) baada ya Jitihada Kufanyika Mchezo huo Kuchezwa Mwanza kushindikana ...
To be announced soon ππ
Babu wa Kigoma: Ananihakikishia Wachezaji Hawa Chobwedo &Chilambo bado ni wachezaji wa Timu zao..
Ila msimu ujao watakua Timu Moja Amechungulia na Anasema huenda meza ikapinduka kuanzia sasa Hawataki kukopwa π
Babu wa Kigoma: Taarifa Zilizopo mmoja ameshakaa na Viongozi na Kupewa mstakabali wake Kuelekea Derby ya May 3. (
Derby Kuondoka na Mmoja Wao. β
Derby imeshikilia kibarua Cha mmoja Wao β βοΈ
#babuwakigoma#perfumeworld
Babu wa Kigoma, Kuhusu Uwanja wa Kariakoo Derby π Ananipa uhakika huenda Derby ikachezwa Zanzibar πβ
Uwepo wa Mvua Mikoa iliyopendekezwa ikashindikana , Kigoma, Arusha, Dar es salaam Tutaiona Zanzibar Derby
I can Confirm ππ΄
Babu wa Kigoma, Aniambie Hadi Muda huu ORUMA amesimamishwa kazi EFM π
Baada ya EFM kumuambia Aomba Msamaha, Boss wa EFM amsimamisha kazi Mchambuzi wa mashtaka ππΉπΏ
I can Confirm Hayupo Kazini π₯
Babu wa Kigoma, Aniambie Hadi Muda huu ORUMA amesimamishwa kazi EFM π
Baada ya EFM kumuambia Aomba Msamaha, Boss wa EFM amsimamisha kazi Mchambuzi wa mashtaka ππΉπΏ
I can Confirm Hayupo Kazini π₯