Nilimuona Tundu Lissu akiwa katika hali ya ulemavu ila akapewa adhabu Kali,huku askari kadhaa wakimusimamia na adhabu yenyewe ilikuwa amepewa kuchimba shimo kubwa ambapo ardhi yake ilijaa mawe mengi, ambayo yalionekana kuwa kikwazo kwake ila alifanikiwa na askari walistaajabu.
Kwenye career path yako, Kuna saa ya
-kufanya kazi Bure
-ku charge kidogo
-ku charge premium na
-ku charge kama expert.
Usije uka charge kama expert muda wa kufanya kazi Bure.
Usije ku charge kidogo muda wa kulipwa kama expert.
hiari ya kuwaletea pesa wachungaji wao."
Kwa sababu mmekwisha fundishwa uongo mkaamini, najua mtasema "nakufuru,"
maana wamewa-program kwamba mnapoambiwa ukweli wanasema ni kukufuru ni dhambi ili muukatae ukweli msijitambue muendelee kuwa misukule wao.
Sasa twende sawa hapo
Maoni ya watu juu yako yatatokana na elimu zao, mapito na maumivu yao, utamaduni wao, malezi na vile wanavyojisikia kuhusu wewe na asilimia ndogo sana ndo itatokana na uhalisia wa vile wewe halisi ulivyo. So punguza kuteseka sana na maoni ya watu juu yako. Ishii
As an African, you have no valid reason to defend America.
You are nothing but a disgrace to your ancestors when you do.
I will keep saying this until it gets into your skull.
Dare to challenge everything you think You know! Most are things You were programmed with from a young age! Most are things passed on from a place of fear and ignorance!
We are in the age of information! Unlearn and Relearn! Expand Your Mind! Reclaim and Remember who You are!
Mfano kwenye mfumo wa elimu wetu wa elimu unatengeneza wasomi wengi ila wengi wao hawa na maarifa matokeo yake ukosefu wa ajira ndio imekuwa kilio wasomi wengi.mfano unakuta mtu amesomea biashara ila anatafuta ajira 🚮 badala afanye biashara.
Siku ambayo Tanzania na Africa kwa ujumla tukiamua kuacha mifumo yote ya wazungu, waarabu n.k na tukaamua kutengeneza mifumo yetu kwenye kila sekta tukianza na elimu ndio wakati ambao hatutashikika kamwe,ndio wakati tutaona nguvu zetu kwenye kila kitu.
YOU are the ancestor who changes everything for your bloodline.
You are the golden light in human form,
brought to Earth with a higher purpose.
You didn’t come to repeat old cycles
you came for ancestral healing,
to transform family karma,
to raise the consciousness of generations before and after you.
What heals in you, heals the lineage.
What awakens in you, frees the future.
This isn’t coincidence
it’s a soul mission
It is up-to US to change the narrative! Usiogope nani. It is Our destiny! To be awake at this time!