RT moja nzito kwa Taifa Stars tafadhali !!
Timu ya Taifa ya Tanzania imefanikiwa kufuzu AFCON kwa mara ya tatu katika historia baada ya kutoka sare ya 0-0 na Algeria ugenini usiku huu.
Waliofuzu Kundi F ni Algeria na Tanzania wakati Niger na Uganda wao wametolewa kutokana na kumaliza nafasi ya tatu na ya nne katika kundi.
๐ Novatus Miroshi ๐งก Welcome! ๐
๐น๐ฟ The first Tanzanian in the history of Shakhtar โ
Everything about the team newcomer: https://t.co/F7SSliHarW.
#Shakhtar#DeadlineDay
Mh Rais SSH mtakapokuwa mnazindua IKULU kesho Dodoma. Tafadhali wakumbukeni hawa vijana waliojenga jengo hilo, ili muweze kuwa na usingizi mzuri na maisha ya amani hapo IKULU.Walipeni jasho lao.