Nina Rafiki Yangu Yuko Ughaibuni Huko Mataifa Ya Mbali Ananiiliza Kuwa Huyu Piere Ni Nani? Anasema Yeye Anaona Ona Tu Mapicha Picha Haelewi!!
Natakiwa Kumuelezeaje Amuelewe?
Maana Kila Saa
NaType....Nafuta
NaType...Nafuta
Nimuelezeeje Amuelewe?
Pierre wewe unafurahisha watu. Hujawahi kumtukana au kumbeza mtu. Kwanini usipendwe na waTZ? Hao wanaojidanganya wanamiliki mikoa na watu wote ndani ya mikoa ...@Paul_Makonda sasa wanataka kuamrisha waTZ nani tumpende. 🤣 Achana nae!
“Waziri Mkuu amenipa fursa ya kwenda Misri nasikia furaha sana, Mungu akitaka kukupa anakupa sikutegemea, Mimi huwa nafurahi hata kama Mtu akinisema vibaya inawezekana aliteleza na kama Mungu anasamehe kwanini Binadamu asiweze kusamehe” - Pierre Liquid.#MillardAyoUPDATES
Kiukweli kabisa nilikuwa sijui Pierre Liquid ni nani ingawa nilikuwa naona meme za mtu fulani zikipita social media. Tokea jana nimejua si tu Pierre ni nani kwa sura bali nimefuatilia na kujua zaidi kuhusu ucheshi wake.
Hii huitwa kupiga chura teke 😂
#ChangeTanzania