@CloudsMediaLive Media ziwe held responsible wakiwapa watu airtime au kupiga matangazo bila due diligence, hasa watu wanaoongea kuhusu tiba na madawa. Influencers pia wa hizo brands wahusishwe kwenye kesi za utapeli za namna hii
@patric_ph Got to be really cautious with BRT planning, it has made parts of Keko single lane, guess the same for Posta , CBE area furthermore creating more parking problems for adjacent businesses. Letβs see for Mbezi Beach more zebra, more traffic lights, more junction = jam
@Buberwa_ Good design ongeza na mahesabu haya iki uwe sure zaidi. Bar ya shipping container moja ina seating capacity ya watu wangapi, na rental ya eneo utapoeka kama sasa huna eneo. Parking etc