Scout aliyemuona
Aliyetoa ushauri asajiliwe
Aliyeenda kufanya mazunguzo ya kumnunua
Aliyetoa hela ya kumsajili
Dereva aliyembeba kumleta ofisini kusain
Dalali aliyemtafutia pa kukaa
Mwenye nyumba aliyompangisha
Kinyozi wake
Anayekaa pembeni yake kwenye ndege
WOTE FUKUZA.
Msimbazi inahitaji revamp ya haraka sana!! Kuanzia kwa viongozi upande wa wanachama na mwekezaji wote wana mambo ya kisanii❗️
Mfano nani kamleta Doumbia??
Yaani baada ya assessment na reviews mkaona kabisa anaweza kuwa noma mbele ya goli??