HAKUNA KIINGILIO:
Kesho tarehe 9 Septemba 2026 Wananchi wote MNAALIKWA kuhudhuria “KESI YA KUDHARAU MAHAKAMA” kati ya JAMHURI dhidi ya PETER MADELEKA, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, KISUTU. Kutakuwa HAKUNA KIINGILIO. Njooni MJIONEE NITAKAVYOJIPIGIA KAVU KAVU
Mke anajua mume lazima awe na hela, mtoto anajua baba lazima awe ana hela ila baba anajua yeye hana hela siku za furaha kwa mwanaume ni chache nazo zimejaa tabu💔🥹.
Mwenyekiti wa (UDASA), Profesa Elgidius B. Ichumbaki amehoji tukio la kutekwa hadharani kada wa CHADEMA Ali Kibao na ukimya wa mamlaka husika ya kushughulikia suala hilo.
Hoja hiyo imeibuka katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), leo Septemba 08, 2026.
Kitu kimoja ambacho ccm hawajui au wanasahau kwa umbumbu au kiburi.
Kabla ya Uhuru wazungu walitumia kila aina ya mbinu, kutishia watu weusi ili wasidai uhuru wao.
Hapa Congo Wabelgiji walikata watu viganja vya mikono, waliua watu mchana .. Waafrika walinyongwa mbele ya halaiki za watu ili waogope, lakini watu walizidi kuwa jasiri na kusonga mbele..
Watanzania hawatakubali ujinga wa dola hii dhalimu.
Haki sipendi hii tone ya CCM kuombwa kama wao ni Mungu watu.
Hatuwaombi tuna demand HAKI!!!!
Na tume yoyote ya maridhiano bila International community Kati kati hatuitaki na nitamia influence yoyote niliyonayo kuwaambia Watanzania waikatae tume itakayoundwa bila wapatanishi wasio na upande wowote na bila Tundu Lissu kuwa mezani akiwatuwakilisha Watanganyika tuliopigwa risasi October 29…..
Maridhiano yoyote bila Muwakilishi wa Watanganyika (Tundu Lissu) hatuyatakiiiiiiii.
N hiyo katiba anayoongelea Mzee Wasira ya kutaka kuifuta Tanganyika ili Zanzibar iweze kutawala na kuinyoka Tanganyika won’t happen. STUPID!!
Tuendelee na hii hii amani ya amani ya bunduki tutajua mbele kwa mbele ila kuchezewa akili na kimama na machawa wake msahau.
Na hatuombi CCM watupe katiba mpya wala watupe haki, wasipotoa tutachukua wenyewe!!!!
Brenda Rupia, your credibility, demeanor, & evidence are entirely unbreakable. DPP ameku-underestimate kwa kuangalia mwonekano wako wa nje pasipo kujua kwamba wewe ni "Bulletproof" witness. Beauty with brains. Hongera mama, umeweza.
#TANZANIA: LISSU AMPONGEZA BRENDA BAADA YA DODOSO LA MAWAKILI WA SERIKALI
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu leo Septemba 08, 2026 amempongeza Mkurugenzi wake wa Habari, Mawasiliano na Uenezi wa chama hicho, Brenda Rupia baada ya kufanyiwa dodoso na Mawakili wa Serikali katika kesi ya uhaini inayomkabili, "wewe mbaya sana wewe, yaani mpaka sasa hujanipa swali hata moja, unaninyima re-examination (maswali mrejeo ya dodoso)".
Kesi imeahirishwa kwa muda mpaka saa 08:30 mchana.
Zaidi: https://t.co/vlsOKdY8Mx
Kwa ajili ya Birthday ya Maria, mpe zawadi moja:
Sali Rozari.
Mpatie maua.
Hudhuria Misa.
Fanya tendo la kujinyima
Msaidie mtu mwenye uhitaji.
Fanya Sakramenti ya Kitubio.
Kubali mapenzi ya Mungu kwa iliyopinga.
Mpatie Bikira Maria zawadi anayoweza kumkabidhi Yesu!
Kupinga ukandamizaji si uasi; ni kusimama upande wa haki. Na pale mamlaka inapogeuka kuwa chombo cha dhuluma, kuitetea haki na utu wa mwanadamu ni sehemu ya utiifu kwa Mungu.
Nazungumza na wewe kijana
Unaepitia wakati mgumu saa hii na huna mtu wa kumweleza au kushare nae maumivu
Sikiliza dear pole kwa unayopitia na usife moyo wewe ni wa muhimu na lipo kusudi la uwepo wako hadi leo duniani, endelea kupambana unavoweza, huku ukiwa na nidhamu, kutamkia wengine baraka na imani Mungu atakufanyia wepesi.
Kuu zaidi jipende sana ukiweza kula basi kula vizuri pumzika na usijikatie tamaa wewe ni mwenye thamani sana.
Nakupenda❤️🫂
Samehe waliokukosea na kukuudhi, ikiwezekana samehe bila kutangaza.
Wakirudi, wasikukute walipokuacha
Kisasi chako kiwe kuwa mtu bora zaidi, mengine mwachie Mungu..!!📌
TBC wanakazi ya kufunga comments leo. Yani posti ikijaa tu comments za wananchi kufurahia basi TBC wanafungia comments.
Posti ya kwanza kabisa waliyoweka kutoa taarifa ya msiba imefungiwa comments.
Hii ndio chuki CCM waliyoijenga kati ya wananchi na serikali haram ya Samia Suluhu.
Machozi ya mkata kitunguu sio sawa na machozi ya mwenye huzuni, ndoto za usingizini sio sawa na ndoto za maono na umasikini sio kilema ila ukifanya mchezo na usipokuwa makini utaugeuza umasikini kuwa kilema cha kudumu🫵.
GEUZA AKILI KUWA DARUBINI YA KUONA MBALI.
Mwandishi mkongwe, Jenerali Ulimwengu amesema ameongea na Jaji Joseph Warioba kwa njia ya simu akisema hali yake inaendelea vizuri baada ya kuanguka ghafla wakati akihutubia mkutano wa kitaifa wa wadau wa kutafakari hali ya kisiasa nchini.
Leo Tunaadhimisha Sikukuu ya Kuzaliwa kwa Bikira Maria Mtakatifu.
Kuzaliwa kwake kulileta pambazuko ya wokovu, kwani kupitia yeye alizaliwa Kristo, Nuru ya Ulimwengu. Atufundishe kuipokea mapenzi ya Mungu kwa "NDIYO" ya unyenyekevu na ukarimu.
Happy Birthday, Mama Maria!🎂❤️🙏🏽
Asante Mungu kwa siku hii mpya.
Kwa uhai, afya na neema yako
Kwa kila pumzi na nguvu za leo
Kwa amani na baraka zako tele
Kwa familia na marafiki wapendwa
Kwa fursa na matumaini mapya
Utukufu ni wako milele na milele!
Good Morning X Family🙏