Msimbazi inahitaji revamp ya haraka sana!! Kuanzia kwa viongozi upande wa wanachama na mwekezaji wote wana mambo ya kisanii❗️
Mfano nani kamleta Doumbia??
Yaani baada ya assessment na reviews mkaona kabisa anaweza kuwa noma mbele ya goli??
Kenyan President Ruto commented on Tanzania’s president winning over 90 percent of the vote recently, noting that Uganda’s Museveni did not achieve such numbers in his democratic win during the previous elections.
JUST IN : According to the state-owned Congolese Press Agency @acprdcongo citing the internal note from Congolese aviation authorities, the country has closed it airspace to all Rwandan aircrafts. What's next for the two neigbhours ? #DRC#Rwanda
Msikilize Imani Henrick Luvanga, mwandishi wa habari na mtetezi wa haki za kidijitali anayetumia podcast au Redio ya mtandaoni iliyojikita katika kuelimisha jamii juu ya ukatili wa mtandaoni na namna ya kuepukana nao.
Imani, anafanya makala, mahojiano na uchambuzi juu ya haki za kidijitali, unyanyasaji na ukatili wa mtandaoni pamoja na fursa za mtandaoni ili jamii ielewe kuwa, badala ya kumnyanyasa mtu inaweza kutumia fursa zilizopo huko.
Kupitia kazi hii, Imani amewahi kushinda Tuzo kama mwandishi kinara wa kupambana na ukatili mtandaoni kutoka WILDAF- 2022 na pia tuzo kama mtengenezaji bora wa maudhui ya mtandaoni - 2021.
Ameshiriki mijadala katika majukwaa ya kimataifa na kitaifa ktk kuzungumzia masuala haya. Pia anafanya kazi na DW- Kiswahili.
Hapa chini ni habari aliyoifanya kuunga mkono na kulipa nguvu zaidi Tamko la Wizara hii ya Maendeleo ya Jamii.
Namshukuru Sana Imani kwani, hakika ni kati ya maBinti wema wenye mchango chanya kwa Taifa hili 🇹🇿✅✍🏻
Msikilize mwenyewe na uangalie upande wako je wewe ni mtanzania chanya au hasi??? Kisha TAFAKARI
Dodondosha komenti yako ya maana, like, tag, repost, quote nk...
Tunahitaji watanzania wengi wa kike na kiume wanaoungana nasi kupaza sauti kama Imani🙏🏽🇹🇿
📣 OGP is pleased to announce @aeyakuze as its new CEO! As a dedicated advocate for transparency and citizen engagement, he will guide OGP’s 76 members and partners in delivering ambitious #opengov reforms.
Many thanks to @SPradhanOGP for 8 impactful years of leadership!
.@aeyakuze is stepping down as @Twaweza_NiSisi's executive director. this is a hard pill to swallow for me personally. i've known aidan for about seven years. he's been a great friend, mentor, inspiration and teacher for all these years. i thank him and wish him all the best.
Do not miss this conversation later today at 6 p.m. on involving citizens in their governance affairs. It will feature insightful speakers, including Hon. @KabbyangaB, @violet_alinda, Bwambale Daniel, and Night Agnes, moderated by @qataharraymond.
Citizen involvement is crucial for transparency, accountability, and building a stronger, more responsive government.
Let’s bring #CommunitiesTogether!