#SAUTMwanza GET READY ✍️
Application window for #certificate and #diploma programmes for 2026/2027 Academic Year will be open very soon.
All applications will be done online through: https://t.co/EZjDYGipnt
Visit our website https://t.co/2lbwweq3ug for more information.
#SAUTMwanza Workshop on Zero-Emission Marine Mobility and Digital Twins organized by the Directorate of Research (DRICE) and the Faculty of Engineering @StAugustineoftz
Facilitator: Prof. Wolfgang Schade
Time: 3:00pm
Venue: Former American Corner
Date: 17th February, 2026
#SAUTMwanza
Maombi ya masomo kwa kozi za Stashahada (Diploma) na Astashahada (Certificate) kwa mwaka wa masomo 2025/2026 @StAugustineoftz
Maombi yanapokelewa moja kwa moja kwa njia ya kielektroniki kupitia tovuti ya chuo: https://t.co/EZjDYGhRxV
#TulijengeJijilaMungu
Makamu Mwenyekiti wa @digitalnewstz_ Tanzania bara Ndugu @HecheJohn, amesema msimamo wa chama hicho ni msimamo wa wananchi na kukataa siasa za ulaghai.
Amesema hayo leo Mei 23, 2025 wakati akifungua kikao cha Kamati kuu ya chama hicho.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #RadioSAUTFm
Katibu Mkuu CHADEMA John Mnyika, Aibua madai kwa Msajili wa vyama vya siasa nchini kuvujisha barua yao - Kamati kuu ya CDM kuijidili na kuitolea uamuzi.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA anakabiliwa na mashtaka ya kuchapisha taarifa za uongo na kesi ya uhaini.
Katiba ya Tanzania inaleza kosa hili adhabu yake ni kunyongwa mpaka kufa.
Je unafahamu mara ya mwisho kutekelezwa kwa hukumu ya mahakama ya kumyonga mtu mpaka Kufa?
Jumuiya ya Kimataifa ya Vyama vya Kidemokrasia (IDU) imelaani vikali kile ilichokiita "kukamatwa na kushambuliwa kinyume cha sheria" kwa kiongozi wa chama cha CHADEMA, Amani Golugwa, alipokuwa njiani kuelekea kwenye mkutano wa Brussels Forum.
#SAUTDIGITAL l #HABARI
Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, anatarajiwa kuwasili nchini kesho, Mei 14, 2025, kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Watanzania kwenye maziko ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya yaliyofanyika nyumbani kwake kijijini Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro tarehe13 Mei, 2025.
#SAUTDIGITAL
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana tarehe 8 Mei 2025 jijini Dar es Salaam imemuachia huru Thabit Zakaria (Zaka Zakazi), Mkuu wa Idara ya Habari ya Azam FC kukosa ushahidi wa kutosha kumtia hatiani
#SAUTDIGITAL l #HABARI
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana tarehe 8 Mei 2025 jijini Dar es Salaam imemfungia miaka sita na faini ya milioni tano Ramadhan Missiru, Katibu Mkuu wa DRFA kwa kukutwa na hatia ya makosa mawili.
#SAUTDIGITAL l #HABARI
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kimepokea taarifa ya Naibu Katibu Mkuu wa Bara wa chama hicho Amani Golugwa, kukamatwa na kushikiliwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo, tarehe 13 Mei 2025
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
IJUE SHERIA YA HAKI YA UHURU WA MAWAZO
Kupitia sheria hii kila mtu atakuwa na;
-Uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake
-Haki ya kutafuta,kupokea na kutoa taarifa bila mipaka
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm