Bro to Bro;
Kupatikana kirahisi nayo hushusha thamani yako
Ukishashuka thamani wanaanza kukutumia ili kutimiza malengo Yao
Wakishatimiza malengo Yao ubao unageuka, wanaanza kuku-criticize kuwa hubebeki, hujitambui🥲
Then Wanaku-dump na mnaishiana hivyo💔
Ijue thamani yako📌
Nakumbuka kabla ya kifo chake aliniangalia usoni kisha akasema
Ukipata nafasi ya kuzungumza nao wambie kuna muda tulifanya kazi kwa malipo ya msosi pekee na hakuna aliyejua hatima yetu zaidi ya Mungu hivyo wakipata nafasi ya kufanya kwa malipo wakumbuke kuweka akiba na kuwekeza.
Work hard, pursue your dreams, and make time to rest and refresh your mind. Travel, explore, and enjoy life. Above all, keep praying and trust God to guide your journey and bless your dreams.
Day 2 Mozambique 🇲🇿
Usiogope kujitafuta upya, hata kama italazimu ku-relocate.
Maisha ni marathon,Using’ang’anie vitu, mazingira, au watu ambao hawakufanyi kukua, bali wanakuua taratibu ndani yako.
Wakati mwingine hatua ya kuondoka ndiyo mwanzo wa kuishi kweli.
Tafuta nafasi, ukipata nafasi onesha uwezo, ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika, ukiaminika utaanza kupata hela, katika kupitia hatua hizi lazima ukubali maumivu ya mchakato wa lazima.
Kuna Dogo Alikua Anauza Ngano, Miaka 5 Nyuma Alikua Ananyumba Hadhi Ya Ghorofa 3.
Alikua Anapush BMW X6, Prado Tx.
Kijijini Kwa Mama Ake Alijenga Nyumba Ya Mfano Mpk Leo Aijawai Kuchuja, Akamnunulia Mama Ake V8.
Alafu Dogo Akaja Kudanja Kwa Kupigwa Shaba!!
Usaliti Ni Mbaya💔