@nziokamul1@AlhajiKe Akuna kitu inaumiza kama mtoto wako kufariki ama kupotea....me nilizika katoto kangu ka 10 days old Tuesday mpaka saa hii naskia kuramba transformer...watu waache mchezo na watoto wa watu..ile uchungu yake si ya dunia hii๐ซ๐ซ๐ซ๐ซ
@Iam_Greezy Bro.... the pain is on another level....huyo mtoto akiaga alikuwa amedungwa sindano zaidi ya 50....ikafika mahali mtoto akishikwa anakuja tumiguu anajua tu anakuja kudungwa๐๐๐