@MfalmewaX1 Usilete udini utaonekana Taila sheikhee Omary! Yan ndege za marekani na Israel F- 15, F- 35, B - 2 spirit, B - 52 Stratofortres, na B - 21 lancer, Yan ziingie kweny anga lililouchi la Iran lipige weeee..... Wamuue mpk Khemenei na makamanda wakuu wa IRGC, bwabwa we mtot
@AbroadTanzania Waziri wa vita wa U.S.A baada ya anga lote la Iran kuwa uchii kabisaa.. Tutaanza kuangusha heavy bombs zenye lb 200, 500, 4000, 22,000! Kusimama Tena Iran itatumia miaka 500+ ๐