Napenda tu kuwakumbusha watanzania kuwa haya matamasha na mpira inatumika kuwatoa kwenye mambo ya msingi ,Afande sele kawakumbuka wenzetu waliotangilia mbele ya haki kaliwa kichwa. kaondolewa kwenye kikundi cha wachawi kwa sababu halogi nayeye.
Wanawake sikilizeni kwamakini ujumbe wenu kutoka kwa dada yenu.
Muusika: binti
๐บ iycsigntv
โ๏ธ iycsigntv
Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more
Nimemsikiliza kwa umakini sana ndugu yetu @FKihamu na nikagundua uwezo wake wa akili ni mkubwa sana na anao uelewa mpana kuhusu maisha.
Mungu azidi kumfanikisha tu, He is a good father๐๐
Tundu Lissu amepewa namba ya mfungwa ambayo ni 623.
Ukisoma Luka 6:23 inasema โFurahini siku ile na kuruka-ruka, kwa kuwa, tazama, thawabu yenu ni kubwa mbinguni, maana, baba zao waliwatenda manabii vivyo hivyo.โ
Kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya Tundu Lissu ni kusudi la MUNGU tusihuzunike sana.
USHINDI UNAKUJA NA HAUPO MBALI.
GOOD MORNING.
REPOST 200
#FreeTunduLissu
Wakoloni WEUSI mnajiona mpo salama sana sasa mnapopambwa na CHAWA wenu.
Kiuhalisia hamuwezi kuuwa watanzania kwa maelfu mkabaki SALAMA never.
Ni suala la muda tuu.
Thanks Denmark๐
TAL!
Baada ya kukutwa na hatia aliomba kuongea na mawakili wake, tukamzunguka kila mtu akawa anampa mitigation facts,
akasema kwani hamjui wana hukumu?, tukamjibu tunajua!,
akasema nikifanya mitigation itabadili hukumu yao?, tukajibu hapana!
Akasema let me speak my mind!
BREAKING: Rais Samia ameelekeza Lissu afungwe miaka mitano au zaidi ili asishiriki uchaguzi 2030. Mtoa taarifa wetu anaelezea kwamba Jaji Mkuu aligoma na kusema Lissu ahukumiwe kunyongwa au aachiwe, hakuna katikati. Hukumu imeandaliwa na Wazanzibari, Hamza Johari na Jaji Nduguru.
๐๏ธ๐ OCTOBER 29 โ NEVER FORGOTTEN. One year since my beloved sister and many innocent Tanzanians lost their lives. The pain remains, and their memories will live forever. May their souls rest in eternal peace. Amen. ๐๐ฝ๐น๐ฟ
#October29#JusticeForTanzania#NeverForget29October