@swahilitimes Hiiiili li nchi bwana waoo muda woooote wanawaza kutuletea maisha magumu me sijawahii ona wakiturahisishiaa maishaa tumenunua ving'amuzi saiz wanasema wanaleta vingine leteni gaweni bure bas kwa walio kua navyoo ngoja nihame hiiii nchiii๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
@IdrisSultan@HKigwangalla Asipongezwe tuu aseme kamfanya nn huyo mzungu na je ni me? Au ke? Asije akawa kaaaibisha nchi ๐ mapema aende kituo chochote cha boda boda kilicho karibu kuna maagizo yangu
@the_mad_queeen Pumbafuuuu kbsaaaa yaaan unakaaa unaaandika ujinga hapaaa ile videooo aliwapiga nani na ni kwann upige video wakat unafanya ????lengo n nn ???๐๐คฃ๐คฃ๐คฃacha tujioneeee tuuuu me ntaisambaza kama kawaaa iwe funzo kwa wengine
@GadiGami@MwanaFA@P_Majani Zero planet???๐ค๐ค@joshuaturuka kujaaaaaa hapaaaa hawa jamaaa si bora watunyonge aiseeee idea zetu ila pesa zao๐งโโ๏ธ