@mangekimambi Bongo usenge mwingi sana, yaani wanajeshi wote hao hakuna hata mmoja mwenye akili??? wanajeshi tusaidieni aisee!! kweli mnakubali kutumika kama ngombe kila siku???
Nimelia sana 😭 leo nimemkumbuka kaka SOKA pamoja na POLEPOLE + home boy wa MBEYA nimelia sana mungu awalinde huko mliko tunawaombea ila Mh. LISSU wamenfunga bila kosa kama mtaiyona post hii basi tunawaombea sana muwe salama