@munyamambogo Mtu akitaka kukupiti muache aende ligi nyingine hazina maana yyt.. Huyu dereve alkua kashapitwa sasa yeye anakanyaga kibati cha nini angepunguza mwendo ili mwenzie apate pa kuingi...
@mlinganya@Buberwa_ Of course...sasa ww kama mwanasheria unakuwa na role gani hapo ya kubishana au kutengeneza hoja za kushawishi ili mfikie kwenye makubaliano? Et mkuu
@mlinganya@Buberwa_ Hapana ubishana unatengeneza kitu kinaitwa "Convincing" yanii unamshawishi mtu anaekisikiliz akubaliane na hoja zako hapa bila listening skills hamuwezi elewana.. and lack of listening skills will amount to "kubishana".. na penye mabishano huwa hkn muafaka sasa jitafakar upya...