@rmjR07@godbless_lema Fanya wewe maamuzi magumu, kila mtu anamaisha yake na anauhuru usiogawanyika kujiamulia namna ya kuishi maisha yake, maadam havunji sheria.
@godbless_lema Sasa kwanini wananchi hawakuzuia na hilo gari la 2 jeupe ili wasiondoke nae?!
Mtu kaiba alafu mnataka kuleta propaganda nyepesi.
Tangu lini mtu akatekwa mchana kweupe kila mtu akiwa anashuhudia?!
Huyo ni mhalifu, sheria lazima ifuate mkondo wake...
@rash_Mwenda@godbless_lema Katiba yetu ibara ya 12 imejieleza bayana.
1. Binaadamu wote ni huru na sawa
2. Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.
So tatizo ni wewe unayedhani wenzako hawana haki..m
@godbless_lema Imagine siku hizi hata jambazi wa magari anajihesabia haki mbele za Mwenyezi Mungu.
Je, umeshatubu?! Umeomba msamaha wale wote uliowadhulumu nafsi zao na mali zao?! Kabla ya kuona kibanzi kwenye jicho la mwenzako, ondoa boriti kwenye jicho lako.
@saidikaniki@DadyJoseph6@godbless_lema Kha!! Kwamba yeye anauchungu sana kuliko familia yake?! Acheni kiherehere, familia yake ingekuwa haijui ilipo ingemtafuta. Kwanza usikute hata familia yake haina radhi nae...
AHADI NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM 2025 - 2030.
NaGreenArmyOktobaTukatiki ✅
Vipaumbeke nane (8) vilivyomo ndani ya ilani ya uchaguzi ya CCM, vilivyoahidiwa kutelezwa katika kipindi cha miaka mitano ijayo 2025-2030.da
#GreenArmyOktobaTunatiki ✅
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Amakweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni, ila ukitaka kuruka sharti uagane na nyonga. Hivi inakuaje hutaki kufa na unataka uende peponi?
Ndugu baki njia kuu Uchaguzi upo palepale Oktoba 2025😂😂😂
#GreenArmyOktobaTunatiki ✅
#KaziNaUtuTunasongaMbele.
KUMBUKUMBU YA MIAKA MITANO YA HAYATI MKAPA
Green Army Oktoba Tunatiki bado tunaendelea kuenzi mchango mkubwa wa Hayati Benjamin William Mkapa katika Taifa letu na Chama cha Mapinduzi.
#GreenArmyOktobaTunatiki✅
#KazinaUtuTunasongaMbele
KUMBUKUMBU YA MIAKA MITANO YA HAYATI MKAPA
Green Army Oktoba Tunatiki bado tunaendelea kuenzi mchango mkubwa wa Hayati Benjamin William Mkapa katika Taifa letu na Chama cha Mapinduzi.
#GreenArmyOktobaTunatiki✅
#KazinaUtuTunasongaMbele
@GeorgeMunisi3@millardayo Kwani ninyi mnataka uchaguzi ufanyike?! Kama hamtaki, si ni sawa na kutoshiriki?! Kitendo cha kutoshiriki zoezi la kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi si kuonesha msimamo wenu wa kutoshiriki uchaguzi.
@AbroadTanzania @DianahZuberi
Huyu ndiye @KenaniKihongos1 ambaye ameweza kuisimamisha jumuiya ya UVCCM bila kuwa na M/kiti wala Makamu M/kiti.
Jumuiya inahamasa ya kutosha na imekuwa imara zaidi ya ilivyokuwa kabla.
#Mtumishi_wa_wote#hachafuki