@mangekimambi Dada @mangekimambi wewe ni muhimu sana katika taifa letu, Mungu akubariki sana 1,000 USD ni pesa nyingi kwa Chama chetu kuendelea na mapambano ya Chama chetu kuikomboa nchi yetu, pesa hiyo ingefanya mengi ktka familia yako but umeamua kuitumia kwa ajili ya WaTz. Ubarikiwe sana...
@Royal_Tv_Tz Usaliti ni kitu kibaya sana, Salum Mwalim sura yake imepoteza nuru kabisa, usaliti unaendelea kumtafuna taratibu, mbaya zaidi hata akili siku hizi ni kama hana kwani kila anachoongea ni pointless, anajitahidi kutetea usaliti wake lakini hana cha muhimu cha kuongea...
@PatricOleSosopi@TunduALissu Siku 34 zimepita tangu kesi ya Uhaini inayomkabili Mhe. @TunduALissu isimame, hii ni baada ya ombi la mapitio lililofunguliwa na Jamhuri katika mahakama ya rufaa, ambayo halijapangiwa tarehe hadi leo.
@Ombudsmanlife@lifeofmshaba Ukiwa huna akili kuwa hata na macho ya kuona, hivyo vitabu walivyoshika mikononi ni vya Bank au vya Chama?.. unakwenda kuzindua tawi la bank na vitabu vya chama?.. mijitu mingine sijui imerogewa uchawa?.. shame on you...
@Getrude_mollel Mbona vyombo vyenu vya Tanzania havijaona kifo hata kimoja?.. kuna chombo cha Tanzania kilichoripoti kifo?.. au unatumia mkundu kufikiria na kuongea?..
@MariaSTsehai Da @MariaSTsehai ukweli ni kuwa Jeshi tunalo laki inavoonesha wote wanamuogopa Abdul... yaani Jeshi la Wananchi linamuogopa abdul na watekaji kisa ni mtoto wa Rais... sielewi Jeshi letu ni la aina Gani? Hivi tunakosa hata wanajeshi kadhaa wnaoŵeza kufanya maamuzi magumu kweli?..
@HildaNewton21 Mwamba huyu hapa... yaani hawa majaji hawaoni kabisa kuwa hapo hakuna kesi ya UHAINI?.. mbona wanapenda kujizalilisha hawa?.. kwa nini wasifanye tu maamuzi ya HAKI kuliko kufata maelekezo yanayowafanya waonekane hawajasoma?.. Kilakitu kiko wazi kuwapo kuna KESI YA KUBUMBA..
@swahilitimes Hivi Taa za barabarani zinazoahidiwa kwenye Kampeni zitawasaidia nini Hawa?.. Miaka 60 na kidogo ya Uhuru bado hali ni hii alafu tunaahidiwa taa za barabarani?.. Kweli?.. Kwa nini Watanzania tusishtuke kuona kwamba Uozo huu unaoendelea ndio utakaoendelea baada ya Uchafuzi?..
@HildaNewton21 Eti mwanadamu aliumbiwa kukosea... We Katuga wee.... Mnampa mtu Kesi ya mchongo hata uendeshwaji wake unakuwa kimchongo... sasa mtavuna mlichopanda, Ngoja LISSU awafundishe sheria... Mnaanza kuleta mambo ya Busara?.. hakuna Mahakama ya Busara bali ya Sheria tu... #FreeTunduLissu
@MariaSTsehai@HecheJohn Mungu Akulinde sana Brother @HecheJohn wwe ni kiongozi shupavu na tunayekuamini katika chama chetu... Moyo wako wa upendo kwa Kwa Mwenyekiti wetu @TunduALissu , chama na watanzania tunauona na sisi tuko nyuma yako... #FreeTunduLissu#NRNE...
@MsigwaPeter Ulikuwa na akili sana ulipokuwa upande wa wananchi... sasa hivi umekuwa kama umeondolewa ubongo kichwani... Mungu akusamehe maana njaa itakuponza...
@Sativa255 Tukutane Sept 12 2025 Mahakama Kuu DSM... Hatimaye Mahakama kuu imepanga 12/09 kusikiliza kesi ya Uahini inayomkabili M/kiti Wa @ChademaTZ2 Tundu Lissu. Kesi itaanza kwa hatua ya hoja za awali!
Asanteni wote kwa kupaza sauti ili @judiciarytz isicheleweshe haki!
#FreeTunduLissu
@PMadeleka Kaka nilikuaga nakuona bonge la mtu na nusu... lakini now sijui umekula nini?.. anyway kati ya wengi waliokufollow mm nakuwa wa kwanza kuku unfollow...
@Sativa255 Tanzania ndo nchi pekee duniani ambapo Chama tawala kinafanya kampeni za kushindana bila mshindani... yaani kinaingia kwenye uchaguzi kushindana na Hewa... hii ni maajabu...
#FreeTunduLissu
@John_Pambalu#BreakingNews
Mahakama Kuu Kanda ya Manyara yafuta amri ya Msajili wa Vyama Vya Siasa ya kuzuia Ruzuku ya Chadema na kutowatambua Katibu Mkuu, Manaibu wake na Wajumbe Watano wa Kamati Kuu waliothibitishwa na Baraza Kuu Januari 22, 2025 baada ya Uchaguzi Mkuu wa ndani ya Chama.