@ExMayorUbungo Kushoto ni John Pombe Magufuli, 2: Anayefuata ni Balozi John William Kijazi, 3: Ni Oswald Simon Majuva,Na wa nne ni Balozi Augustine Phillip Mahiga, wote ni marehe na wote walikuwa washauri wa Raisi JPM... Tusitendeane mabaya hii dunia wote ni wapitaji 🛑🚦
Mwanachama mwenzetu Lucy Shayo alimakatwa na Jeshi la Polisi Mkoani Tanga, Novemba 30, 2025 baada ya hapo alisafirishwa kuletwa Dar kwa ajili ya Mahojiano.
Tangu siku hiyo hadi leo bado anashikiliwa na Jeshi la Polisi na sasa yupo kituo cha Polisi Chang’ombe, nimejulishwa kwamba amepigwa sana hawezi hata kusimama.
Pamoja na mateso yote hayo lakin bado Polisi hawataki kusema kosa lake ni nini?
#FreeLucyShayo
Joint Statement by the British High Commission, the Canadian High Commission, the Embassies of Norway, Switzerland, Belgium, Denmark, Finland, France, Germany, Ireland, Italy, the Netherlands, Poland, Slovakia, Spain, Sweden, and the EU Delegation, on Recent Events in Tanzania.
Iko hivi👇
Juzi niliripoti tukio la jaribio la watu kuniteka.
Watu wale wakitumia gari tatu aina ya Land Cruiser na Subaru Forester nyeusi walitaka kuniteka nikiwa naendesh gari langu.
(Sijui walitumia muda gani kujua gari ninalotumia, Sijui walijua vipi makazi yangu)
Bahati nzuri sikuwa naendesha gari hilo. Walimfukuza dereva aliyekuwa na gari na akafanikiwa kuwapoteza kwenye vichochoro vya Kigamboni.
Baada ya kukosa gari. Watekaji wakajikosha kumtafuta mjumbe wa mtaa wangu. (Sijui walimjuaje kwani ilikuwa ni ndani ya muda mfupi sana tangu dereva kunipigia na mjumbe kunijuza kuwa kuna askari wanataka awalete nyumbani kwangu)
Askari walipofika kwangu hawakutaka kushuka. Wakiwa kwenye gari lililo tinted wakamwambia mjumbe ashuke aniulizie.
Binti yangu bila kujua kuwa baba yake yupo kwenye jaribio la kutekwa akamjuza mjumbe kuwa mimi nimeondoka tangu asubuhi which was true.
Taarifa hii ilinifanya kufika kituo kikuu cha polisi kuulizia kama ninatafutwa kwa shida yoyote ambapo nilijibiwa hakuna kesi yoyote dhidi yangu.
Nilitumia pia my insiders kujithibitishia hilo.
Sikuridhika.
Kwa uchunguzi wangu nikapata namba ya mmoja wa waliopaswa kuwa watekaji wangu.
Namba hapa chini, haimilikiwi na mtu binafsi.
Namba hii inamilikiwa na RCO Temeke
+255 774 175 485
Nilipiga namba hii na kuuliza kwa nini wananitafuta kihuni bila wito maalumu.
Wamenivizia kwenye gari. Wamefika kwangu kuniulizia na kuondoka bila kuacha wito kwangu au kwa mjumbe.
Hawakuwa na jibu na badala yake wakaniambia nina kesi Chang’ombe wanataka nifike.
Nikawajuza waniambie ni kesi gani? Inahusiana na nini? Nani mlalamikaji wangu? RB namba yangu ni ipi? Wakashindwa kunijibu.
Nikawajuza kuwa bila hizo taarifa sitaweza kufika.
Jana jioni, watu hao wamefika tena katika makazi yangu.
Bila kutoa search warrant wakaingia kupekua hadi ndani ya chumba changu wakiwa na mitutu ya bunduki wakanikosa.
My family is so so distressed.
Wanahisi Je, baba yao ni Jambazi?
Ninaomba nitoe wito kwa yeyote anayenitafuta afate taratibu za kisheria ATANIPATA
Namba hii nimeipeleka sehemu. Naamini nitapata HUDUMA
The deputy leader of Tanzania's main opposition party, Chadema, is facing terrorism charges, two weeks after his arrest in the capital Dodoma, his lawyer has said. It is unclear when he will appear in court. The government hasn't commented on the case.
https://t.co/70nRGGI8Iq
@mangekimambi Hii kwel kazi ya laana kumamake hivi unampigaje mtu kisa kikundi cha maviongozi wachache wanao tuibia nali za huma! Hizi takataka zinaitaji maombi hili yajitambue ndo maana yakozeeka yanapigwa na ukoma na umasikin juu
SECOND LIBERATION 🇹🇿
Gen Z 🇹🇿 have decided that December 9 is their next day of protest
The significance is that in 1961 on this Day is when TANGANYIKA got independence
Mark this - Tanganyika! Where the massacre occured on October 29 to date!
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu ibariki Tanganyika ��🏽
Wapendwa TUMESHASHINDA ila pepo chafu la kupenda damu zetu limeng’ang’ania na makucha lakini limeshaondolewa kiroho- last kicks of a dying horse
Kizazi cha Gen Z ndo kizazi cha Ukombozi wa pili
#SaveTanzania #TanzaniaMassacre #SamiaMustGo
@StandardKenya Anazidi kuchanja mbunga kimataifa kwa mambo ya kijinga hivi kulikuwa na haja gan ya kushindwa kukomesha utekaji!? Pengin tusinge fika hapa
@TZMsemajiMkuu Mmeumiza family nyingi sana kwa uzembe wenu pengine mngesikiliza maona ya raia tusinge fika hapa! Toka nizaliwe sijawai kuona rais anakataliwa kama samia. Hizi damu zitanena juu ya family yake hato hishi kwa amani hapa duniani🙏 komesha utekaji na tendeni haki
There’s an ongoing campaign trying to sanitize dictator Samia Suluhu ,painting her as calm, compassionate, and a leader who “listens and leads with grace.” 😳😳
Let’s be clear..No matter how much they try to rewrite the story, the truth remains. Samia Suluhu is a dictator and the African Union has become her enabler.
She doesn’t lead with compassion or calmness. she leads through fear, intimidation, and control.
But scaring people into silence won’t work.
Just like every other president abusing power across Africa, she must be held accountable.
Jeshi la polisi jana walituambia HAWA ni bodaboda Kutoka nchi jirani.
Hawa ndio wameua watanzania zaidi ya ELFU 3 nchi nzima.
REPOST 500
————————
Yesterday, the police told us that THESE are motorcycle riders from a neighboring country.
These are the ones who have killed more than 3,000 Tanzanians across the country.
#Tanzania: The adjournment of Tundu Lissu’s treason trial to 3 November, 4 days after the 29 October general elections, is a clear confirmation that his persecution is part of a coordinated, state-sponsored campaign to suppress political opposition.
#HumanRightsUnderAttackTZ
AMETEKWA! AMETEKWA! AMETEKWA!
Naomba kushare nanyi huu ujumbe kama nilivoupokea.👇👇👇
Huyu anaitwa Rodrick Kakwaya ni Mwalimu wa Usevya Secondary iliyopo Mkoani Katavi na Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe lakini pia aliwahi kuhudumu kama Makamu Mkuu wa shule akiwa hapo Usevya Sekondari.
Mwalimu huyu alitekwa siku ya Tarehe 30 Septemba mida ya usiku katika makazi yake hapo Usevya,nyumba wanazoishi walimu hazipo mbali na shule,hivyo alitekwa kama alivyotekwa Mdude Nyagali mbele ya mke wake na watoto.
Mwalimu Kakwaya alikuwa Mwanaharakati na Mtetezi wa haki za Binadamu na msimamo wake haujawahi kuyumba tangu nimfahamu.
Taarifa hii nimeipata jana kutoka kwa mtu niliyesoma naye na nikajaribu kufanya mawasiliano huko Usevya ili nipate uthibitisho na nimethibitishiwa kwamba taarifa hii ni ya kweli na Ndugu wameenda vituo mbalimbali vya Polisi lakini mpaka sasa hawajafanikiwa kumpata Ndugu yao mpaka sasa.
Nimearifiwa kwamba Mwalimu Kakwaya alikuwa Mkosoaji wa Mfumo hususani katika Magroup ya WhatsApp.
Huyu ni Mwalimu wangu alinifundisha wakati ule nasoma Advance pale Usevya hivyo namfahamu vizuri hajawahi kuwa na shida na mtu,ni Mwalimu mpole sana asiye na makuu,Mwanafunzi yeyote aliyesoma pale Usevya anaweza kukubaliana na hili lakini hata mtu anayeishi yale mazingira anaweza kuthibitisha hili jambo hivyo kosa lake ni kutoa maoni yake kuhusu mfumo.
Hakuna kosa linalostahili adhabu ya kutekwa,Tanzania ni yetu sote,tujifunze kuwa na uvumilivu wa kisiasa.
🔥👊🏽Sirari, Tarime things are boiling nicely on the ground!
Bodaboda drivers have shut down the road protesting harassement from police
Safi sana Kanda Maalum 💪🏽 pameanza kuchangamka! Kuelekea #MO29 watu wa Sirari wameona wanachelewa!