Good morning...
Shuka ni mtumba from UK, pure cotton 📌
Shuka 1, foronya 2-25k
https://t.co/bARxZYRiXx
📍 Riverside Karibu na Micasa, Mikoa yote tunatuma
Hazipigi shoti, wala kulia "tatatatata"
Bora hata hiki kizazi kinapoteza muda social media kuliko kuzaa watoto wengi kama njiwa ili waje wateseke baadae kutaka wakusaidie na hujawapa hata muongozo wa maisha kisa tu wewe ni mzazi..🚮
Ushauri wa bure kwa vijana wa ovyo: Ukipata mali kama hii, usiiendee kwa pupa. First time unaichapa, hakikisha umetumia Busta kuepuka aibu ya kupiga kimoja chali Asanteni.😅
Ni vile tu waarabu na wahindi wengi ambao ni wamiliki wa viwanda vingi kwao pombe ni haramu lasivyo wangeingia na kwenye hiyo game pangechangamka sana😁🙌🏾
We imagine bakhresa angekuwa ana kiwanda chake cha pombe😂😂🙌🏾
Ushauri wa bure kwa vijana wa ovyo: Ukipata mali kama hii, usiiendee kwa pupa. First time unaichapa, hakikisha umetumia Busta kuepuka aibu ya kupiga kimoja chali Asanteni.😅
Hivi wauza migahawa kwanini ukoko wa wali mnatuuzia bei kuliko wali wenyewe kuna kitugani ambacho kipo kwenye ukoko kumefanya uwe na bei hivi? yani wali maharage nyama 4K ila ukoko maharage 5k... huu si wizi kabisa jamani?
Kudai haki hakumpi mdai power ya kuvunja sheria wengi wanaingia matatani kwa kuhisi wakiwa wanadai haki wana weza dai kwa njia yoyote mwisho wa siku wanaangukia pabaya
Tunapaswa kuikosoa Serikali na kudai uwajibikaji, mfumo wa haki, na maendeleo kwa njia za amani na za kisheria ikiwa hamna ulazima wa kutumia mabavu na njia za vurugu.
Pande zote mbili ziache hizi siasa za kijinga zinaligharimu Taifa hili.,linagharimu Roho na Damu za watu; Ni hatari hata kesho CDM wakishika Dola kwa siasa hizi haitofanikiwa kufika popote..!
Aisee, hivi hili jambo limekaaje kitaaluma? Kuna chuo hapa Dodoma kimeshindwa kuwalipa wahadhiri wake, hivyo wengi wao wameondoka. Sasa chuo kimeamua kuwaajiri wanafunzi waliohitimu hapo mwaka jana na mwaka juzi 🤣 Je, hatua hii inaendana na viwango vya kitaaluma? Hivi...