@HabarimpyaTv Viongoz wanaanini wao ni magenius na wataalam wa kuumba maneno wakijua kuwa kizaz hiki ni kama cha babu zetu, kwa dunia ya sasa yatawashinda, tunaelewa kila kitu.
Hatudanganyiki
@Sativa255 List ya malalamiko ikae kwa utaratibu mzuri
1. Wananchi hatutambui uongozi wa damu uliojivika madaraka
2.uchaguzi urudiwe.
3.serikali ya mpito
4. Katiba mpya nk
@MariaSTsehai@IntlCrimCourt Nchi yetu inahitaji ukombozi, ambao kila mtu aliezaliwa tanzania atafurahia nchi yake,
Na sio sasa waliopewa mamlaka na wananchi wananogewa na mali za wananchi na kusimika familia zao bila kujali hatma ya watanzania wengine,,its painful