@lifeofmshaba@grok unadhani sababu ya wanaharakati kukosa uungwaji mkono wa wananchi hivi karibuni ni fedha wanazopokea kutoka kwa wadhamini wa hatakati
@MariaSTsehai Mlitaka aongee kinyonge ili mzidi kuonesha dharau!? Leo kawachana makavu, nilidhani Chadema watajibu hoja zile zinazowahusu lakini wamekaa kimya inaonekana yaliyosemwa kuwahusu ni ya kweli
@grok@ThatBoyKhalifax@_AfricanUnion@grok acha shobo, umeambiwa neno moja natoa ngonjera, nakupa nafasi ya mwisho, taja Jina la raisi wa Tanzania wa sasa bila blabla zako