Nakumbuka pesa ndio ilikuwa changamoto sana kwetu sisi watoto wa maskini mpaka tukashindwa kutofautisha kati ya NDOTO na MALENGO ila sio kwamba hatuna akili
Nilienda Dubai na karibu milioni tano tu na plan ya kuuza laptops. Miezi michache baadaye nimepata ๐จ๐๐ ๐ฟ๐ฒ๐๐ถ๐ฑ๐ฒ๐ป๐ฐ๐ ya miaka miwili. Hii ndio reality ya Dubai ambayo watu wengi hawakwambii.
Acha nishee hii story hapa baada ya hapa utakua na majibu ya kila kitu kuhusu DUBAI
๐๐๐๐๐ฎ๐ ๐ฃ๐ ๐ข๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ ๐ช๐๐ช๐จ๐ช ๐ฟ๐ช๐๐๐ ๐๐ฌ๐ ๐๐ญ๐ฅ๐๐ง๐๐๐ฃ๐๐ ๐ฎ๐๐ฃ๐๐ช
-Utakuwa umefika Dubai
-Umejua kila kona ya Dubai
-sehemu za kulala, sehemu za kutalii,Biashara nk
๐๐ผ๐ผ๐ธ๐บ๐ฎ๐ฟ๐ธ, Chukua kahawa,Popcorn tuendelee๐
Kiukweli hayajawahi kuwa maamuzi ya siku moja ni RECIPE ya maamuzi na vitu vingi nimekua nikipitia
Chachu ilitoka wapi?
โ๐ ๐ผ๐ก๐ฌ๐๐ฎ๐จ ๐๐๐ค๐ค๐จ๐ ๐ง๐๐จ๐ ๐ฎ ๐๐ง๐๐๐๐ค๐ข ๐ค๐ซ๐๐ง ๐๐ค๐ข๐๐ค๐ง๐ฉ๐๐๐ก๐ ๐จ๐ก๐๐ซ๐๐ง๐ฎ. ๐ผ๐ก๐ฌ๐๐ฎ๐จ.โ
Mwaka 2022/2023 me whatsapp nilikutana na mwanangu @eddygotya akawa ananiambia ashawai agizia watu vitu kibao China na nini.
Mimi nilikua Nairobi wakati huo. Kwa Nairobi ni kitu cha kawaida sana watu wajanja wa mtandao kuOrder aliexpress nk na logistics zimenyooka tu chaap unaletewa mzigo.
Sasa fast forward nilivogeuka bongo tukaanzisha kampuni inaitwa ๐๐๐ฆ๐๐ฆ๐ซ๐๐ ๐๐๐๐๐ tulikua na office SINZA afrika sana pale sokoni junction ya kwenda mabatini. Ilikua inakua ila challenge hazikosekani me nikamwambia mchizi nabwaga akaendelea ila me nikachana nayo
Sasa yeye akaanza kwenda ๐ฟ๐ช๐๐๐ next ikawa China
Kuna siku nikamuuliza kati ya Dubai na China wapi naweza enda nikiwa hata na 5m nikatoboa. Akanyoosha akasema Dubai.
(Usije ukawa na 5m ukadhani pia utatoboa, kwangu ilikua rahisi maana tayari nina wateja plus najua kufanya marketing ONLINE)
Me nikiwaza lifestyle ninaloona mtandaoni la Dubai nitaweza afford kweli nikaona uongo
Mwaka juzi mwanangu @thisiscollins1 alikua Chuo Cyprus akahamia China basi tukaanza kupush tena ecommerce kama kawaida ila logistics ikawa mzozo sana.
(Btw tushaiwafunza watu 1000+ jinsi ya kuOrder vitu china na kuuza๐๐พ https://t.co/zCBwnjBe0A)
Mwanangu akanambia me niko shule omba VISA njoo hapa.
Sasa me kama wewe na wengi mnaopenda uhakika nikaanza kumuuliza kila move oya usafiri, hotel ngapi bei nk
Huku nauliza @eddygotya kuhusu Dubai pia
NikiCompare hivi nikaona maisha ya China ndo kitonga nitamudu.
Mimi huyo chaap kwenda kuApply VISA ya China
Agent waliniletea miyeyusho ofcoz kama hujui hii sio mara zote watu wamenyooka. Me ni mkorofi niliumana nao haswa hadi nikapata VISA ya China. Hehe
Sasa kubabake ikawa wakati wa Canton fair nauli ziko juu mlima. Yaani nikienda ni kuwa nimalize hela yote nauli afu nibet kupambana ama nisiende
Nikabwaga nikamcheki mwanangu tena @eddygotya nataka kwenda Dubai
Akanambia nenda Dubai focus sana lakini kuuza LAPTOPS. LAPTOPS zina hela miezi nne tu gharama zako zitarudi
Uzuri mambo ya kumarket kwangu sio issue nna watu 1200+ daily wanaangalia whatsapp yangu
Kukosa mteja labda nirogwe.
Siku hiyohiyo nikamuomba mtu wa VISA nikalipia.
Hapo sikuwa na dusko nimetoka kupata mtoto costs kibao bima tu Kenya namlipia ka 2m, dogo mapassport nini mambo buku sielewi.
Nikachek line zangu mbili wakanipa Dusko niAfford bills za hapa na pale.
Mungu hatoki twitter aisee week ya kwanza mauzo bampa to bampa hapo ni whatsapp tu.
Offcourse challenges hazikosekani kama hii niliibiwa hapa๐ (https://t.co/5MPIdKedYQ)
Hadi leo me hizi X sijui insta napost tu for visibility ila nauzia ๐ฌ๐๐๐ฉ๐จ๐๐ฅ๐ฅ.
(Learn Whatsapp marketing๐๐พ https://t.co/whyDV6cN2d)
Mwezi wa kwanza nikaishi Nikarudi afu after few weeks nikarudi sasa nipambanie ๐๐ผ๐ ๐๐ฟ ili nisisumbuke kuomba VISA kila mara
Maana trip hii plan ni nipate ghetto(bedsitter) kwa ajili ya kukaa ila pia iwe office kwa maContent yangu.
Hii haikuwa ngumu maana tayari watu wangu wa karibu washaona mzigo nnaopiga, sales nafanya. Wakatia mzigo.
Bana Mungu sio Mark Zuckerberg๐ . Round hii mambo ikajipa
Process ikaanza
๐๐
ChatGPT na AI nyingine ni nzuri haswa kwa repititive tasks
Ila ili upate output nzuri muhimu kuzingatia Prompt Frameworks
Ukitaka ChatGPT ifanye kazi kama assistant au co-pilot wako kila siku (iwe ni content, strategy,kazi za ofisi, ads au research), tumia hizi frameworks.
๐๐ฝ
Unapoandika Maelezo Ya Bidhaa Tumia hii MBINU
(FEATURE) + (BENEFIT) + (BENEFIT OF BENEFT)
Mfn:
Simu Zetu Zina Camera nzuri(FEATURE)
Utaweza Kupiga Picha Kali(BENEFIT)
Hivyo Utatunza Kumbukumbu za picha zikiwa na muonekano safi(BENEFIT OF BENEFITS)
Chukua Hii..
Huna Mchongo, Una SIMU, Laptop na Bundle
Nenda Youtube search โGenAI freecodecampโ
Soma hii week yote
Practice madini ya mule
Hautabaki kama ulivyo. TRUST ME BRUV. Hapo ni kujiongeza tu. Laana pekee ndo itafanya ubaki bila mishemishe๐ซต๐พ
#MadiniYaGaby
Reddit ndio napata hata ideas za kupost
Nachukua link ya post yenye engagement naipeleka chatgpt
Chatgpt itaExtract maswali watu waliyouliza
Halafu naiambia chatGPT ama Deep inipe ideas za post, sehemu za kwenda kusoma zaidi. Natengeneza post
Karibu #MadiniYaGaby
Dunia ya sasa inaendeshwa na taarifa.
Lakin taarifa haiwezi kuwepo bila DATA โ na data hizi zipo mtandaoni.
Swali ni: Unazitumiaje?
Hapa ndipo OSINT (Open Source Intelligence) inapoingiaโutundu wa kukusanya INFOs kutoka vyanzo vya wazi.
Inafanyaje kazi? Shuka na hii thread๐๐พ
Hapa na kwa channel Telegram kote huwa nashare tena FREE
Hizo kwenye email ni hizi chini hapa
1. https://t.co/MLr4q7rxZC ( survey) $100+/ survey
2. https://t.co/USAV6XHLvX ( survey) $120+/Survey
3. https://t.co/TgQJAVXLGs ( testing sites) $34+/hr
Kwenye maamuzi yako ya kiuchumi pendelea kufanya OPPOSITE na ambacho serikali inakuInsist ufanye.
โSerikali ikikwambia tuna Dollar za kutosha, Jua haina
โikisema currency yake imeimarika against Currency X jua ndo inaenda kuanguka, Jiandae
Scripts ni zilezile Waandishi Tofauti.
Unajua kuwa Black Friday na Cyber Monday ni fursa kubwa ya kuongeza mauzo au kuokoa pesa? Kama wewe ni mfanyabiashara au unataka kununua bidhaa kwa punguzo kubwa, thread hii itakufundisha kila kitu unachotakiwa kujua. Twende kazi! ๐