Kwa uzoefu wangu wa zaidi ya miaka 30 hapa duniani..
Mkisha achana mkaa kipindi kirefu kiasi kwamba kila mtu akawa na mahusiano mengine then mkajifanya kurudiana tena hayo mahusiano hayachukui round mna achana tena.
‼️KUHUSU FADHILI SAGA, MMOJA WA WAUAJI WA OKTOBA 29‼️
Fadhili Saga ni Mhehe, anatokea Kijiji cha Ilula Isele, tarafa ya Mazombe Mkoa wa Iringa.
Baba ake Fadhili Saga ni maarufu sana pale Ilula anaitwa Dr. Mfwimi Saga yeye ni Daktari wa binadamu na amewahi kufanyakazi Ilula Lutheran Hospital, kwasasa Dr. Saga alishastaafu.
Watu wa Ilula wanasema Baba ake yani Dr Saga ni mtu wa Imani sana, sasa naomba mmwambie baba ake kwamba mwanae aliuwa maelfu ya ndugu zetu kwa mikono yake siku Oktoba 29, 2025.
Mwambieni Dr. Saga amuulize mwanae yale maelfu ya miili ya ndugu zetu waliouwawa kwa risasi Oktoba 29 then wao wakaiiba, walienda kuizika wapi?
Mama zetu ambao vijana wao waliuliwa na hawakufanikiwa kupata miili yao matumbo yao ya Uzazi bado yanawauma hawajui miili ya vijana wao imefukiwa wapi,
Kuna Mama zetu wengine ni Wajane sababu Fadhili na wenzake waliuwa waume zao kwa risasi Oktoba 29,
Kuna watoto ni wakiwa kwasababu Fadhili na wenzake waliuwa Baba zao kwa risasi Oktoba 29
Fadhili na wenzake wametusababishia maumivu ambayo hatuwezi kusahau maana tangu Oktoba 29 hadi leo unaenda mwezi wa 8 lakin makali ya maumivu bado yapo vile vile, hili jambo hatuwezi kuacha lipite hivi hivi.
Mauaji ya Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi waliouwawa kwa risasi siku ya Oktoba 29, 2025 hayawezi kufichwa na tume ya uchunguzi.
MARTIN kitu kinachokutofautisha wewe na Wapinzani wengi na Commentators wengine ni ukweli. Unajua kusimamia kilicho sahihi haijalishi huyo mtu umeshibana naye vipi. Wengine wanasema ni kwa sababu hujapewa fungu la 10 la maana au hujapewa madaraka.
Naomba uwajibu hilo !!
Je, wale waliopoteza viungo vyao vya mwili? Waliokatwa masikio? Waliogongwa misumari miguuni? Waliofanya ukatili wa kutisha kama kulawitiwa wakati wakimtetea Mzee MBOWE akiwa mbunge wa HAI, wamepewa faraja au kuombwa msamaha? Wengine walilazimika kutelekeza familia zao na kuwa wakimbizi kwa kuhofia usalama wao. Hali hii inajenga picha kuwa Mzee MBOWE ameweka maslahi yake binafsi mbele na kusahau gharama kubwa waliyolipa wafuasi wake. Hii ni dhihaka kwa watu wote ambao waliwahi kuamini katika njia zake. Hii inatuogopesha ambao tumewahi kumpambania hadharani. Hata hivyo, SABAYA anatakiwa kuomba msamaha mwenyewe, siyo kuombewa msamaha. Kimsingi, msamaha ni jambo la kibinafsi na la kimaadili kati ya mtu aliyekosea na yule aliyekosewa. Msamaha wa kweli unahitaji sauti ya mkosaji mwenyewe.