I'm thrilled to attend The 16th International Scientific Conference and 14th TAMSA General Assembly at Mwanza. I am glad to be part of it as a Delegate from TAMSA-MUHAS, It was Informative and Insightful as we explored through its theme.
Kuna wimbi kubwa la
Madaktari kuacha kazi katika hospitali za umma na wengi wao wanaingia katika shughuli zingine za kiuchumi mtaani .
Hii inaweza kuwa red flag kwa serikali na nchi kwa ujumla ya kuwa na uhaba wa hawa wataalam hapo mbeleni .
REKEBISHENI MASILAHI.
@MoMataula@Isayadicksonjr Mara nyingi such patients unakuta alihudhuria ANC visit 1/2 au hajawahi kabisa,
How comes mama anakuja na Hb ya 3.
Tuendelee kutoa elimu📍
@Iam_Malunguja Ni ukweli,
Sema due to our economic situation ni ngumu mtu ku-afford OGD so watu hu-opt for H.Pylori Stool Ag na tumezoea hivyo ila Gold standard ni OGD📌.
Kipimo pekee kinaweza kutoa majibu kuwa una vidonda vya tumbo ni Oesophago-Gastro-Duodenoscopy (OGD) hii ni imetengenezwa kwa mfumo wa camera ambayo inaweza kuingia hadi ndani ya mwanzo mwa utumbo mwembamba na kuchunguza kama kuna vidonda. Huu ndio ukweli
HAMPENDI UKWELI NYIE😂
"Sheria ya kwanza ya uwekezaji sio kupata faida ni kulinda mtaji, watu wengi wamekuwa wakipoteza kwenye uwekezaji mbalimbali kwa sababu kabla hajajiuliza nitalindaje mtaji wangu ,anawaza kwenye faida"
- Ammi Julian Mwamunyi Manager Corporate finance and Advisory - CRDB Bank.
@Isayadicksonjr Huwa ninawaona,
Ila huwa I have queries about their eating habits. Kwangu I see Mtu inabidi aanze kwa ku-manage what he/she feeds first.
@OfficialKyejo@Isayadicksonjr Ukiingia mle ndani kabisakuna mabanda ya kuchambua ya such stuffs,
Achana ya pale barabarani.
Good thing now days hakuna wale mawinga wa pale barabarani🤏🏾.