@swahilitimes Singapore rais hana nguvu yoyote. Ni symbolic tu yupo Kama hayupo. Ingesema waziri mkuu wa Singapore hap ningekuelewa…lakini tupo Tanzania, nchi ya wasiojua lolote…ni masinema tuu yanachezwa
Upuuzi tu! Masikini Watanzania hawajui kitu. The Singapore President holds a unique position that blends mostly ceremonial figurehead duties with important "custodial" or veto powers, but they do not hold executive policymaking authority. The true executive power to govern and make policies lies with the Prime Minister and the Cabinet.
@godbless_lema Hawa vijana wakazungumze na Ukraine. Si Yule aliyemfunga baba Yao alikuwa Urusi juzi. Ukraine na innovation zao wanamaliza hii kesi asubuhi kweupe….mimi nawaambia ukweli mtupu.
@eastafricatv ACT ni upumbavu tu. Unataka ni hivyo hivyo hutaki ni hivyo hivyo. Huo ndio ukweli. Na sisi wananchi tunajua hilo. Mnajifanya watu wa kusoma vitabu.. nyie bwana!🤣🤣
@DavidHundeyin Do you know who is working to stabilize your Ebola situation over there in Africa? A white man with his money, medicine and technology. You delusional mothersuckers!
@MadiniTanzania Jamani naombeni muwe na priorities. Urani ya nini wakati hapa dar es salaam maji hayatoki. Miaka 65 ya uhuru hakuna maji jiji kuu… Halafu Eti mnazungumzia urani..What the hell!
@HildaNewton21@Ndeterewio_ Sasa nyinyi mtawafanya nini? Mdomo mwingi mno… mnaboa. Mbona wapo tu wanadunda? Huku Mexico hawa wangekuwa wameshaoza zamaniiiii!!! Nyie ni Mdomo tuuuuuuu! Mnaudhi sana nyie waswahili. Bure kabisa!
@MariaSTsehai Nimesikia kuna maandamano makubwa kupita maelezo yanakuja huko mbezi, kimara, Ubungo kwa sababu maji hayatoki kabisa na sehemu zote maji yanapokosekana.