Just #PopChampaign my wife and a sit. Cozz haikua rahisi kufika hapa so pumzika kidogo D #ndele ni nyingi ijapo naamini tutafikaa tyuu. #NaFurahaWachaIendelee https://t.co/pK3GcYPy7b
Kumekucha na naanza Mungu kisha #KaziKazi kama nawe umeamka xalama na muombe M/Mungu coz ye pekee kaibeba siku nzima ya leo na mafanikio yote. 2021Hatupoi https://t.co/qlFxP0BFm9
Siku zote namuomba #M/Mungu anijalie #HekimaNaBusara. Mafanikio yana tafsiri nyingi. Bt 2021 ukawe mwaka wa wenye mafanikio meengi na makubwa #GoldenCityCasinoForLyf. TryYourLuck2beMillionaire. https://t.co/Wtr8rIUTzz
Nakumbuka tuliuanza mwaka 2020 vizuri ilipofika siku kama ya leo mdogo angu ukaniacha na mipango ilikua mingi. Bt endelea kupumzika #MbeleAkoNyumaYetu#DjSammy#R_I_P https://t.co/KnVHMcyY1S
2021 na ukawe mwaka wa mafanikio #Makubwa kwetu na familia yetu na ahadi yetu isivunjike. Ikikupendeza M/Mungu #GoldenCityCasino uziongezee ziwe 20. https://t.co/DOYdrV89zT
Hatimaye unaongeza mwaka mwingine #MyreallyWife,MyEveryThing,MyBedMateOfAllTyme,#TheOnlyOneILove enjoy yo day nakupenda na ntakupenda Daima Cake kuubwa kwa ajili yakoo mke wangu. https://t.co/4VNfhWfBpo
Hbd mdogo anguu naziona mbio zakoo ama hakika unaikimbiza ndoto yako mwezi ujao naja hata nkupe zawadii zakoo. Bt Mungu akupe miakaa mingi isiyo na idadi @official_dvj_duma @official_dvj_duma. https://t.co/E5wynjhnOD
Aksanteee kwa wote na mwendo umeisha salama nilitamani iwe nzuri zaidi ya hapa ila haikuwapendeza wote pumzika mke wangu ntakurudia tena itakapokubalika #RipCalvinAron https://t.co/1ktlaQ1xZw
Happybirthday Dada mkubwaa #Vicky baba anakupendaa xanaa na Mwenyezi Mungu akujalie kila lenye kheri na uendelee kukua kwa misingi na maadili Mema. Ikimpendeza namuomba aendelee kuniweka nije nishuhudie mema yako. https://t.co/UNLGC5Zkqx