@IAMartin_ Mtikila huyu kiazi mbatata hana ujasiri hata kidogo, yeye ashukurua ameongea huu upumbavu wake akiwa mjengoni 😡
Kama kweli anao ujasiri atoke aende jimboni kwake akaongee huu upupu aone kitakachotokea ‘shwain waahed huyu’ 😡
Kichwa yake imejaa samadi ya fungo 😎
@SimbaSCTanzania Kwanini 🦁 amepangiwa mechi nyingi za away mfululizo? Ni kawaida fixture kuwa hivi?
Prisons vs 🦁 away
Dom vs 🦁 away
Utopolo vs 🦁 away
Singida vs 🦁 away
Tra vs 🦁 away
Pamba vs 🦁 away
🤷🏽♂️🤷🏽♂️🤷🏽♂️🤷🏽♂️🤷🏽♂️🤷🏽♂️