Am Muslim π³πΎββοΈ
Maintenance engineer π¨πΎβπ§
Port equipment and facilities engineer π¨πΎβπ§
fan's of arsenal fc and azam fc β½
Kumbe Mnaisubiri TATU UNUSU kwa hamu eenh..???
.
Anyways Taarifa Rasmi ya kwanza Imetoka usiku wa Jana Tatu na nusu Juu ya MAJIBU YATU BAADA YA MAOMBI YAO na kuliko baki πππ
.
Inakuja saa tatu na nusu ingine ya π₯π₯
Taarifa
Klabu ya Azam Fc imejibu Maombi ya Yanga Sc juu ya Kipre Junior na James Akaminko na Rasmi siku 7 baada ya Mchezo dhidi ya Mbeya City ,Mazungumzo ya ndani Yataanza baina ya Management ya Timu yetu ,Benchi la Ufundi na Wachezaji Tajwa
Klabu yetu iko tayari kwa mazungumzo
Jamii inakuza mno tabia ya kujichanganya na watu. Ukiwa mtu wa kutafuta ukimya unaonekana wewe sio βmtu wa watu.β
Tumefika mahali tunafikiri uwezo wa kutoa hotuba za kusisimua ndio uongozi.
Makanisa siku hizi tunachanganya upiga kelele na usisimuaji na βtabia za rohoni.β
Maisha ya wanaume ni kutafuta Kila kitu...
Yaan utafute mke,pesa,amani, usingizi na bado utafute ufalme wa mbinguni." Ila na bado tunaitwa mbwa
#mshua_master