Kwa hiyo HoD wa Ilala inatakiwa sisi wafabiashara ichukue siku ngapi wewe kuidhinisha leseni maana ni wiki Sasa zimekaa mesani kwako Hawa maofisa wa chini wameshapitisha zinakusubiri wewe wiki nzima,wenzetu wa Kinondoni wanatuambia Leseni ni siku Moja tu @Ilalamunicipal
@Tigo_TZZ Nadhani bado mnaleta UBISHI ama mmeajiri Slow learners ninaponunua kifurushi ninanunua kulingana na kazi nnayofanya sasa hicho unachoniambia ni kujustfy wizi
@Tigo_TZZ Mpaka nimeamua kuwaweka hapa x ni kwamba ninyi ni wezi na sio watoa Huduma kwa kuzingatia mnachotangaza kwenye matangazo yenu. Nipeni Logic ya 3GB kwa dakika 30
@Tigo_TZZ Na mnaamini ninyi ndo mnajua matumiz ni kama police wa Tz wanaamin Wana Akili Sheria kuliko wanasheria wenyewe sasa waulize PGO yaani mpaka nnaunga kifurushi nnajua matumizi yake ila sio 3GB kwa nusu saa
@Tigo_TZZ Nimewasiliana nanyi kwa njia ya kawaida hamkunijibu. Inawezekanaje 3GB inaisha ndani ya nusu saa. Jirekebisheni fanyeni biashara na muhakikishe mnakidhi KIU ya mteja nje ya HAPO TUTAWAWEKA HAAPA