🗣️ “Hizi ni baadhi ya comments za Wana-X (zamani Twitter) kuhusu @RMsafii89130 — mtangazaji anayetikisa hewani kupitia EATV & East Africa Radio! 🎙️🔥
Simu ya mkubwa wa kazi #Billsepengaa zimeita mpaka kwa #RichMsafii kuwa jaji mpya wa Mahakama Kuu ya Burudani #FridayNightLive ya #EastAfricaTV na @earadiofm
Wana mengi ya kushea nasi Ijumaa hii kuanzia saa 3:00 usiku mpaka 5:00 usiku,Interview Exclusive kibao, story kubwa za town, trending na music video mpya kabisa.
#FridayNightLive #FNL
KUANZIA NEXT WIKI NITAKUA NATOA NAFASI KWA KIJANA MMOJA MPYA APITE ASHINE KUPITIA PLANETBONGO PROMO + INTERVIEW 💯
TAG HAPO KIJANA AMBAE UNAMFAHAMU NI MKALI NA ANATALENT NI MUDA WA KU UPDATE PLAYLIST ZA WATANZANIA 💪🏽
#TogetherTunawakilisha#MajiYameloana#MsafiiNiMmojaTuu
Brotherman Dully Sykes anaelezea hali aliyoipata baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kuimba wimbo wake.
#PlanetBongo#DullySykes#BongoFlava
Tunayofuraha kumtambulisha @RMsafii89130 kama balozi rasmi wa @Kingbet166166
Ungana na @RMsafii89130 pamoja na wafalme wengine wengi kwa kubashiri na KingBet.
Tembelea tovuti yetu https://t.co/EIRknHKZvl kujisajili upate bonus mpaka 7000 TZS ya ukaribisho.
Sambamba na hilo utaweza kupakua APP yetu kupitia link iliyopo kwenye tovuti yetu.
Bashiri na KingBet, Ushinde Kifalme.
#Kingbet #BrandAmbassador #ShindaKifalme