@Innocen89950594 Arudi hospital muhimbili akaendelee na matibabu....changamot ya kichwa kikubw huanzia tangu mtoto akiw tumbon nawala haihusian na iman za kishirikina, tatizo la mifupa kuw laini pia ni tatizo la kuzaliw nalo ambapo kinachohitajika ni kufuata ushauri wa kitabibu kutoka kw Dr.