Sahihi Bukhari:3574
Amepokea Anas bin Malik(Allah amridhie)
Mtume ﷺ alitoka katika safari moja pamoja na baadhi ya Maswahaba wake. Waliendelea kutembea mpaka wakati wa Swala ulipofika, lakini hawakupata maji ya kutawadhia.
Mmoja wao akaondoka na akaleta kiasi kidogo cha maji ndani ya chombo. Mtume ﷺ akakichukua, akatawadha, kisha akaingiza vidole vyake vinne ndani ya hicho chombo na kuwaambia watu:
“Nendeni mkatawadhe.”
Wakaanza kutawadha kwa kutumia yale maji, mpaka wote wakatawadha. Walikuwa karibu watu sabini hivi.
Furaha ni tofauti na utoshelevu. Furaha huja na matukio. Unafurahi kwa vile ulichotarajia kimetokea. Unachangamka, kichwa kinanyanyuka, uso unachanua, macho yanakuwa angavu, tabasamu haliwi mbali, na kwa hakika unatembea kwa kujiamini.
Furaha inaweza kuambatana na kujisikia fahari kwa kile ulichofanya, umefikia malengo, umeona matokeo ya jitihada zako. Lakini pia inaweza kuja na mshangao wa kutokuamini kilichotokea. Hukupanga kivile lakini nyakati zimekuletea unachotamani kuwa nacho.
Utoshelevu, kwa upande mwingine, ni hali inayoanzia ndani yako isiyotegemea matukio. Unakuwa na utoshelevu kwa vile unaamini unacho ulichotaka. Tofauti na furaha, utoshelevu ni hisia za kudumu unazokuwanazo zinazotokana na hakikisho kuwa hali yako ni shwari.
Unaweza kuwa huna vingi na hata kile unachokitaka bado huna hakika utakipata lini lakini ujasiri ulionao unatosha kunyanyua kichwa chako, sura yako inachangamka, macho yako yanatiwa nuru, na hutembei kinyonge. Ukiwa na utoshelevu kuna namna unaweza kupambania usichonacho lakini huna mahangaiko. Imani kubwa inakukumbusha kuwa unachotoka utakipata, na hata usipokipata hakuna kinachoharibika.
Kwa hivyo, mwenye furaha amepata alichokitafuta, ambacho kwa hakika angekikosa angehuzunika, lakini mwenye utoshelevu ana ‘anacho’ hata asichonacho, ana furaha isiyotegemea kupata au kukosa, na hata akikosa haibadilishi imani kubwa kuwa anacho. Vipi, una furaha au utoshelevu?
Wakati huu ni wakati wa kunyamaza.
Wakati huu ni wakati wa kubaki nyumbami.
Wakati huu ni wakati wa kuridhika na unachopata, mpaka utakapo fikiwa na Mauti.
"Mwanangu, usipoteze fedha zako. Sherehe itakapomalizika, wageni wataondoka, na kila kitu kitaachwa nyuma. Tumia ulichonacho kwa hekima, kwa sababu watu huondoka, lakini matokeo ya maamuzi yako hubaki na wewe."
Jueni kutofautisha kati ya "UTU" na "MALEZI" niliyokulia.
UTU wangu unawakilisha Malezi yangu tu!
Lakini Tabia yangu inategemeana na jinsi mnavyo-nitendea nyie.
Na wewe Jifunze kuwapokea kama wanavyokuja 😂😂.
Maisha Bila Stress
🔥 Wapenzi wa Gaming, hii ni kwa ajili yenu!
Wireless Gamepad imefika. Cheza michezo inayoruhusu game controller kwa control bora zaidi.
Karibu RUTTO – Simu Bila Stress 📞 0789 84 77 22
🔥 MAJAGI YA UMEME YAMEFIKA! ☕
Chemsha maji kwa haraka na kwa urahisi ukiwa nyumbani au ofisini.
✅ Ubora wa kuaminika
✅ Rahisi kutumia
✅ Hujizima yenyewe baada ya maji kuchemka
💰 Bei: TZS 22,000 tu!
📍 Soko Mjinga, Arusha
📞 0789 84 77 22
Karibu RUTTO – Simu Bila Stress.
Umasikini una mateso sana.
Na dunia haina huruma juu yako, mpaka utakapo jihurumia mwenyewe.
Ukifanikiwa kujichomoa, hakikisha unatumia kila jitihada na mbinu usirudi huko.
Hela ni chombo, si lengo la maisha.
Hela hukupa uwezo wa kupata mahitaji, kuwekeza, na kusaidia wengine, lakini haiwezi peke yake kununua afya, amani ya moyo, heshima, au mahusiano mazuri.
Ila pamoja na yote hayo, hakikisha unayo 😂
Mtume ﷺ amesema:
“Mwenye sifa nne hizi basi ana tabia kamili ya unafiki; na mwenye moja kati yake ana tabia ya unafiki mpaka aiache:
Anapoaminiwa hufanya khiyana.
Anapozungumza hudanganya.
Anapoahidi huvunja.
Anapogombana hupindukia mipaka (hutukana, hudhulumu au huzua uongo)
🚨 President Donald Trump on Thomas Tuchel decisions: “You have a great player in England, who I played golf with, he is Harry Kane...
…and maybe England MADE A MISTAKE when they put him as a defensive player”.
“They took a lead and they put their best player at defending?”