Bila Ninyi Mimi Na Crew Nzima Ya RYIN DOMINATION Si Kitu _ Support kwa kiretweet Ndugu Jamaa Na Rafiki Zako ,Na Hata Kwa Kushare Cover Ya Wimbo Huu Kwa IG Account Plz/Plz Tunahitaji Support Yako...
Treamusic - NIPE (Official Audio)
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
https://t.co/IkU3FHwNjf
using,ang'anie kuish na watu ambao mungu anajitahid kukutenga nao, jitahid uyaguse maisha ya wengne kwa wema, linda sana moyo wako kuliko vyote ulindavyomwenyewe na yesu tu,
liishi neno la mungu, ongeza mahusiano na roho mtakatifu, tambua hakuna anayeweza kuyabadilisha maisha yako ila wewe jifunze kutoa sadaka kamili inayofanana na ulivyobarikiwa, ongeza muda wa ibada kati yako na mungu,
Licha ya idadi ya wagonjwa wa Corona kuongezeka kila siku bado kuna watu wameenda kujazana makanisani hivi kweli mmeshindwa kabisa kufanya ibada majumbani mwenu, mbona Mungu yupo kila mahali.?Loudly crying face
Ndo maana Biblia inasema "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa."
Waziri wa Afya
@umwalimu
kwa Niaba ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea Misaada Mbalimbali yenye Jumla ya Shilingi Bilioni 3. 2 kutoka kwa wadau mbalimbali, makampuni Binafsi na wadau wa Maendeleo katika Kuunga Mkono Juhudi za Serikali kukabiliana na ugonjwa wa Corona Nchini
Ukichunguza kwa umakini watu wengi hutumia utani kuelezea chuki,wivu na husuda walizonazo juu yako ila hutumia kicheko kuficha hayo
________________________
#tutaheshimiana#tutaheshimianacover#Covid_19#CoronaVirusUpdate
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
https://t.co/UMXvevmOjC