To you Dada
Ukisha olewa, ndio wanaanza kujitokeza wanaume wanao kupenda kuliko mumeo, ni wazuri sn.
mwanaume atakusifia kuanzia unyayo wako mpk utosini.
Mwanaume atajilaumu kama Mbosso khan, ulikuwa wapi, kwanini sikukutana na wewe mapema, wewe mwanamke mzuri sana...
1/4 ๐