Unaambiwa nchini China kuna miti inaitwa, “Chinese Bamboo”, ukipanda unaweza kumwagilia mpaka miaka 5 bila kuchipua.
Lakini, mwaka wa tano utakapochipua, ndani ya wiki 6 inakuwa kwa urefu wa futi 90.
Kwamba, ndani miaka 5 chini hutengeneza mizizi imara ya kusapoti ukuaji wa haraka wa ndani ya wiki 6.
Hilo ni somo juu ya “Ustahimilivu na kufanya kwa mwendelezo”, kwani kila kitu kina Compounding.
Kuna huyu mama wa Arusha alikuwa anamtetea mwizi asiuliwe, kasema anaweza kuchange na hata HAMJUI. Kasema “Hata nyie hapa mna dhambi za sirii”. Ni ombi langu kwako Mungu akupe mtetezi katika maisha yako asikosekane mtu wa kukutea hata kama kweli umekosea.
But the thing is, I still choose God. Even when it's hard, even when it doesn't make sense, even when it's taking longer than I ever expected, I still choose Him. All I know is, I would rather go through this with Him than without Him.
Every moment we fall into sin is a stark reminder of how greatly dependent on God we ought to be at all times. Many times, we truly do not understand how fickle, perverse and empty we are apart from God’s grace, and nowhere is this more evident than in our neglect of prayer.