Hongera sana @NjiwaFLow kwa kufikisha 200k hopefully siku moja na mimi nitakuja kufika huko.
Naomba support yenu wapwa nipate hii simu ili inisaidie kwenye harakati zangu za kupiga picha na content za furniture ili niwafikie wengi zaidi.
@Njiwa_Store
Kuna habari potofu nyingi jiji la Dar es salaam kuhusu njia za haraka za kupata utajiri kupitia ushirikina au kazi za mitandaoni . Watu wanaambiwa watoe fedha na baadaye hawatajiriki na wanagundua wametapeliwa.
Cheza mchezo wa safari ya Singida hapa https://t.co/F3XpVhouRJ
Watu feki mikeka feki ๐๐๐
Jana tumeumiza sana huko betting brain story anayo mkubwa @Thereal_taivina
Sasa fanya hivi njoo Whatsapp
0760245103
Andika ni Add ujoin bure kabisa
Habari marafiki zangu!
Nambie maoni yako kuhusu mchezo wa safari ya Singida,umejifunza kitu gani kwenye mchezo huu na changamoto gani umekutana nazo.
Andika hapo upande wa komenti ๐
Kama bado hujacheza bofya hapa ujifunze zaidi https://t.co/F3XpVhouRJ
Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini linapelekea vijana kuwa hatarini na habari potofu.
Kuna kurasa za mitandao ya kijamii zinatangaza ajira bandia na baadaye vijana kuombwa fedha ili wapate nafasi za kazi mwisho wa siku wanatapeliwa.