@HildaNewton21 Jamani ndoa si Vita kwa kweli alichofanyiwa shilole kinatakiwa kupingwa popote na yeyote kwanza kazalilishwa pili hta km Ana kosa hakupaswa kupigwa vile
@Issa29878730@eastafricatv@ccm_tanzania Vyama havitakiwi kuungana miezi mitatu wakitangaza trh ya uchaguzi hivyo saivi bado haijatangazwa ndo Mana umeona ht membe anataka upinzani waungane wakishatangaza hawataruhisiwa kufanya hivyo
Katika maisha yako yote Kuwa makini Sana na vitu DEMOCRASIA na HAKI ZA BINADAMU
Na kwa anaekwambia vitu hivi lazima ujue anamaana gani
Hivi ndivyo vimefanya Libya iwe km ilivyo leo, hivi ndivyo vilimuua SAADAM HUSSEIN
MUNGU atupe maarifa na hekima kujua haya
@MagufuliJP Hata ww mungu aendelee kukupa hekima busara na akili nyingi zaidi lkn kikubwa tuendelee kumwomba mungu kwa Hawa wenzetu wanaompinga kila kitu wanaweza tuletea human right na democrasia km ya Iraq na Libya tuwapinge kwa nguvu zetu zote
@HecheJohn Aise mm tanzania wapinzani wawili tuu waliwahi nivutia zitto na lissu lkn saivi pia Nina Shaka nao mm wamehama ktk mlengo wa siasa zao na kuzisaliti nchi na kutaka umaarufu mtandaoni heche Tena unaonanekana una hasira Sasa weka akiba ya maneno
@millardayo Hapa ndiyo utajua democrasia inatokana na ktb ya nchi husika, anagilia china raisi alipendwa anaongoza milele lkn ikitokea afrika lzm tuone UN, USA, UK wanapiga kelele angalia Libya wameharibu wakatulia mpk leo watu wanakufa nchi imekua gofu wamesahau zile point za democrasia
@bbcswahili Alafu huyu balozi wa marekani Ana agenda gani na Tanzania mn toka afike hapa sijawahi sikia km anaipongeza ht Tanzania yy Ni wapinzani tuu wapinzani wenyewe zitto na mbowe Kuna Nini hpo Kati mn simwelewagi
Kwanza hajaanguka bado so ndo huyu alisema tz watu wanadondoka tu duu
@francokomba1@bbcswahili Wanataka na sisi tuvune democrasia na haki za binadamu km Libya na iraq mn UN, USA, na UK wanahoja kuu mbili DEMOCRACY AND HUMAN RIGHT na kwa kua wanajua sisi waafrika tunapenda umimi na pesa ndizo wanatumia kuwarubuni ndugu zetu il watusaliti na tuharibu nchi zetu
@KaundaJr_@bbcswahili Ofcaouse, we suppose to speak up on him that were independent, we have our rules laws and consititution, but together we can Alon we Devine G
@shabaniyusuph12 @bbcswahili Hapo hawajutii Mana Ni mavuno ya democrasia na haki za binadamu Ila na ssi waafrika sijui hua tunataka gunia la chawa Mana hua hatuelewi Yani saivi jinsi Libya inavyovuna matunda ya democrasia na haki za binadamu ilitakiwa tujifunze sana
@bbcswahili Mm nashauri tuu zito kabwe na lisu ebu rejeeni hoja zenu za miaka kadhaa iliyopita nadhani mkiendeleza zile mtafika mbali Ila mkiwa waropokaji na kutaka umaarufu huku mtandaoni mnaweza Baki kuwa viongozi wa mitandaoni na kujikuta watu wanawachoka
@bbcswahili Lkn pia Ni Tanzania pekee ambayo watu wapo upinzani tuu Mana wakikamatwa watu wanaongea Sana lkn wakikamatwa watu wasio wanasiasa au wachama tawala Wala sijawahi sikia sijui hua Ni mbuzi Hawa
Pia hii sheria inatoruhusu mpinzani kutukana kuchochea sijui inatoka wapi
@bbcswahili Marekani bwana mchonganishi Sana alafu hua wananishangaza Sana hua Wana hoja kuu mbili haki za binadamu na democrasia, lkn saadam Hussein na gadafi walienda na hizo hoja Sasa nchi ikianza kuvuna matunda ya democrasia na haki km Libya na iraq hua wanasepa zao aise mungu tuhrumie