Rais Trump amesema hakutakuwa na makubaliano yoyote na Iran hadi kuwe na ‘kujisalimisha bila masharti.’ Pia amesema Marekani pamoja na washirika wake watafanya kazi ‘kuirejesha Iran kutoka ukingoni mwa uharibifu’ baada ya kuteuliwa kwa viongozi ‘wanaokubalika.’”