Kila siku mpya ni nafasi nyingine ya kusonga mbele. Usikate tamaa kwa sababu ya changamoto za jana. Leo ni siku ya kupambana, kujifunza na kushinda.
Good Morning Familia
HERE WE GO! Hemos enviado un fax al @FCBarcelona_es con nuestra oferta de traspaso: 4 entradas para el concierto de Bad Bunny de mañana, una suscripción anual al ABC y una bolsa de pipas. Esperamos ansiosos la respuesta para preparar el ‘announce’.
Nassrawis… what a season. From day one, we knew what we wanted and what it would take to get there. We worked, fought and gave everything in every training and every game. It wasn’t an easy road, but we did it together. Thank you for believing in us and standing by our side every step of the way.
1/2
Habari Familia, Mungu ni Mwema baada ya Kuchukuliwa na watu nisiowafahamu Jmosi Asubuhi, niliachiwa kwa dhamana juzi jioni. Shukrani sana kwenu kwa kupiga kelele, kuniombea hata na kupambania kwa kila namna. Hata wale tuliotofautiana kwenye football, Music na itikeli zingine.
Bado tuna shida mahala sisi VIJANA . Inaonekana bado ngumu kukubali ule msemo
1: " Hii KEKI ni kubwa sana kila mtu atakata kipande chake na bado itabaki "
2: " Kwani kuna shida wote tukishinda / Kufanikiwa " ?
Upatikanaji wa hizi hela unafanya watu kuchukiana/ kuharibiana