@EsirEid Tajiri, ni kama ushakua na tatizo la kisaikolojia kuhusu mtazamo wako wa kidini, kila mtazamo wako hupo kidini hata pale ambapo haina umuhimu kuzungumzia ndo maana kuna muda watu wanakuweka upande huo
Mazingira unatatengeneza wewe
Sio kila una-react ,unazidi kutengeneza engag
@MaraHo0d@PolycarpMDM Canada hipo chini ya uangalizi wa malikia wa Uingereza , canada hawana raisi ina waziri mkuu,, na ikiwa mtu kapata uraia wa Canada basi atakula kiapo kuwa muaminifu kwa malikia,,(hapo awali)
ila kwakua sasa kuna mfalme basi atakula kiapo kuheshimu mfalme wa uingereza...