@Kimatainocent@Adventure_36 Wanapita old shy maana daraja la old shy halija kamilika wanapita pemben na mwigumbi lile daraja halipo mpakan mpaka wa mwanza na shinyanga ni nyasamba
Ijumaa ya kazi ofisini Ikulu, Chamwino, Dodoma ambapo pia nilitenga wasaa kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Klabu ya Simba na wa Klabu ya Yanga.