@Jum66938Shimora@Nassibmkomwa_ Mercedes benz stadium ni uwanja unatumiwa na Atlanta football club ya marekani kwanini usiitwe Atlanta stadium....Mdhamini akishatumia pesa zake kujenga uwanja yanakuja makubaliano jina la uwanja liwe la mdhamini ili liendelee kumpa biashara na kutambulika zaidi
@VodacomTanzania Kwanini mtandao wenu siku hizi unatutesa mawasiliano yana kata kata, ukituma sms zinachelewa kufika na ukitaka kujiunga vifurushi vinafeli au mnatufukuza bila kutuambia?
@naythetrueboy@Sativa255 Nimekuona leo MLELE unazunguka na gari una show yako huku so take time kwenda kumtembelea maana nasikia yupo hospitali ya wilaya ya MLELE na mimi pia tomorrow ntaenda kumuona
@AdvocatesBatai@SportsarenatzTz Kwaiyo ishu kwa vile ni mzee basi maana yake alisomea ukocha zamani???? Mbona sisikii Luis henrique,carlo Ancelotti,Hughes wakiacha kambi zao na kwenda kusoma